Utumishi mtaniua kwa pressure

Utumishi mtaniua kwa pressure

Be brief always be brief.Hii mitihani mara nyingi hawasahihisha knowledge wanasahihisha aptitude.Je unajua aptitude ni nini?
Mbona hujajibu uliposema nimekosa Mkuu umehamia tena kwenye aptitude mitihani ya aptitude ndo hiii😀😀😀
 
Wakuu nacharaza keyboard hapa na majonzi tele bado siamini amini kabisa kweli na kusoma miaka mitatu BAF kwa haya maswali ya written kwa Accountant
1.Accounting document proof (explain)
2.Examples of Asset ( na kujifanya Niko deep nikadefined nikaweka zile type zake ndo nikaweka na mifano zake kama zote lakini wapii)
3.types of Expenditure according on accounting purpose (explain)
4. Books of prime entry (explain)
Nipate 50% Kweeeeli ?? Utumishi mi nawaamini sana lakini kwa hili mmenidharirisha saaaaana, Labda yangekua ni maswali ya consolidation, Wahasibu wenzangu mtihani wa maswali hayo mtu kupata hivyo bora afukuzwe akasome marketing au vinginee, mtusamehe sana tuliopata hivyo. SOMETHING IS WRONG SOMEWHERE

Niwatakie kila la kheri mnaoenda kwenye oral, ila sisi wenzenu HATUJASHINDWA HAYO MASWALI ila leo ndo nimeamini matokeo yana mengi, kesho mapema tu nawahi ubungo nirudi kwetu Mwanza. Ahsante
Rudi utumishi ukawaulize umekosea wapi. Watakuelewesha.
 
Labda kama ingekua ni namba lakini Maelezo ngumu sana
Kama una nafasi si mbaya ukaenda, hutapungukiwa kitu kuliko badae uje kusema "ningejua".

Ukijua umekosea wapi itakusaidia hata kwenye interview za badae...

Best of luck.
 
Simple tu, usikate tamaa jaribu tena baadae kama wanavyojibu simu ikiwa haipatikani ujue na wewe nafasi yako bado.
 
Utumishi hawataki mbwembwe, wmswali ukiulizwa nenda kwenye point moja kwa moja, nilipata kazi utumishi bila kuvuja jasho
Sawa man, maswali manne tu wakisema explain nimeweka mistari miwili tu ilikua mingi sana? Na karatasi ni moja tu hata mbwembwe hazikuwekwa
 
Kama una nafasi si mbaya ukaenda, hutapungukiwa kitu kuliko badae uje kusema "ningejua".

Ukijua umekosea wapi itakusaidia hata kwenye interview za badae...

Best of luck.
Nashukuru Mkuu, nitajaribu kufatilia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom