Utumishi kwanini wamefanya hivi?

Utumishi kwanini wamefanya hivi?

Mm naona ifikie hatua pia, watu wa kwenye kanzu data, wawe wanawekwa wazi ili tuendelee kuish kwa matumain
 
Tumeipenda wenyewe,, Chaguo letu wenyewe,,
Acha waisome namba eeeeeh,,(waisome namba) sisiem mbele kwa mbeleeee
Hatuna muda wa kupoteza tena cha msingi nafasi hizo watu washaitwa wakafanye kazi
Mmezoea sana kulalamika waswahili acheni hizo, wengine mkajiajiri.

Hapa Kazi Tu.

ndio maana ulisoma CBE, college=kitivo na sio UNIVERSITY
 
Back
Top Bottom