Utumishi- kuitwa kwenye interview ya kuandika kwa njia ya mtandao -MDA's & lga's - Accounts assistant ii (12/3/2026)

Utumishi- kuitwa kwenye interview ya kuandika kwa njia ya mtandao -MDA's & lga's - Accounts assistant ii (12/3/2026)

Habari mkuu, sijajua lengo ni kupeana experience au kujua maswali gani huwa yanaulizwa mara nyingi na sources za material kujiandaa na usaili.

Kama ni kujua uzoefu tembelea uzi pendwa KWA NINI UTUMISHI WANATUMIA MUDA MREFU KUITA WATU KAZINI. Watu walishashusha experience humo.

Ila kama unataka maswali na material ya kujiandaa kwa usaili napendekeza kuna forum inaitwa wananchiforum utapata unachokihitaji.

Best wishes champ!
 
Back
Top Bottom