Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
Mwalimu anawalaani wote waliomkandaAmebaki kulalamika tuu 😂 hapo alipoanguka anyanyuke na kusonga mbele kama injili 😂
Mwalimu anawalaani wote waliomkandaAmebaki kulalamika tuu 😂 hapo alipoanguka anyanyuke na kusonga mbele kama injili 😂
Kuna comment moja hv anawalalamikia ccm 😂 huyu ndugu yetu ameshachanganyikiwa 😂Mwalimu anawalaani wote waliomkanda
CCM ndio waliomkanda huko PSRS au?Kuna comment moja hv anawalalamikia ccm 😂 huyu ndugu yetu ameshachanganyikiwa 😂
N kuchanganyikiwa tuu, huyu mtoa mada hayupo sawa 😂 matokeo yamemuathiriCCM ndio waliomkanda huko PSRS au?
Kukandwa na PSRS hakuzoeleki kachoma nauli kachoma hela halafu anaishia kukandwaN kuchanganyikiwa tuu, huyu mtoa mada hayupo sawa 😂 matokeo yamemuathiri
Avumilie tuu hakuna namna 😂Kukandwa na PSRS hakuzoeleki kachoma nauli kachoma hela halafu anaishia kukandwa
PSRS wanakanda watu mpaka kukitokea nyingine wakawaita sijui km watatamani kwenda wakikumbuka walivyokandwaAvumilie tuu hakuna namna 😂
Ndo maana Namshauri mtoa mada akubali kuwa amekosea na asonge mbelePSRS wanakanda watu mpaka kukitokea nyingine wakawaita sijui km watatamani kwenda wakikumbuka walivyokandwa
Kufeli usaili ndio kuteswa? 😂 Bado hujasema jombaaaaLakini ni CCM Hawa Hawa wanaotutesa watanzania.
Jiajiri mzembe wewe.Nisiwachoshe. Kama mliamua kiwango Cha chini ni 50%, haya mambo ya kuishia 80% mmeyatoa wapi??
Kama huendelei na usaili bc ujue umefeli 😂 tuliaNani kafail paper na wewe??
Pole sana ndugu, stress za kufeli zimekufanya unipakazie mambo ambayo ww mwnyw huna uhakika nazo 😂Ukute wewe ndiyo wale wanaotembezwa sijuwi maandamano ya kumfanya ni nini Samia, yaani