Utumbuzi wa Makonda, Giza nchi nzima, Siku ya Wajinga duniani na Kuwashwa kwa Mwenge!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,038
142,153
Nachambua Bible yangu Agano la Kale nipate ufahamu matukio ya namna hii huashiria nini Pindi yanapoongozana

Hasa hili la kutumbuliwa Mzalendo Makonda kisha Taifa zima limeingia Giza

Nitarejea....
 
Back
Top Bottom