singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Halafu mbowe analia lia kuwatetea watumbuliwa majipu, sijui ana matatizo gani, mungu msamehe hajui alisemalo
Mbowe naye ni jipu hana utashi wa kutetea raslimali za nchiMada ni nzuri ila umeipaka uharo kwa kuwataja chadema
Kama baba yako alitumbuliwa na kakwambia anaendelea kupokea mshahara kakudanganya,muulize anapokea kiasi gani? Au anawaliwaza tu wanafamilia. Utawala wa kisheria mtu husimamishwa then uchunguzi zaidi unafuata akiwa analipwa nusu mshahara na akibainika kuwa na kosa ndipo mkataba unasitishwa rasmi na hata hiyo nusu ya mshahara hutaiona,atapelekwa mahakamani na gerezani pia,hivyo usiwe na pupa,subiri kwanza.Waliotumbuliwa bado wanalipwa mishahara kama kawa...hakuna aliyepewa barua ya kusimamishwa....na hakuna aliyepelekwa magereza....sasa what next.Kama utawala wa sheria upo nchini tusubiri.
Waliotumbuliwa bado wanalipwa mishahara kama kawa...hakuna aliyepewa barua ya kusimamishwa....na hakuna aliyepelekwa magereza....sasa what next.Kama utawala wa sheria upo nchini tusubiri.