Utu uzima dawa: Kwenye hili mmewezaje ili na wengine wapate ujuzi?

thirteen06

Senior Member
May 17, 2021
119
98
Ukitaka kujua unapokwenda muulize anayerudi, Angalau vijana wapate ujuzi, hivi wale wanao date na wapenzi / mfano fiances zaidi ya mmoja ili kulinganisha kama ni yupi mnaendana zaidi Ni njia gani huwa mnazitumia ili kuepuka kuwagonganisha.

Kwa mfano, mmoja kati ya wale unaodate nao amahitaji kujua unapoishi na kukaa kwa siku angalau 2 au tatu mkiwa pamoja, na wakati mwingine kupenda kufuatilia sana text na inbox zako.
 
Kinabo kila mpenzi wako mwambie unaishi na rafiki yako.

In this case hata akitaka muongee usiku unamuambia haiwezekani utampigia kelele mwenzio, akitaka kuja kulala unamuambia haiwezekani au unamuambia ni weekend tu.

Akikuta sms unamuambia mshkaji wako aliishiwa vocha akatumia simu yako.
 
Kwa faida ya vijana (me)
Aisee mkuu mbona kuwacontrol ni rahisi sana tena kama ivo we ni me ndio simple zaid mmoja. Kizuri zaidi wako 2 tu, mmoja akija kwa mwingine unakua bize na kazi unamtafuta ukitoka, ukiingia ndani ushamuaga kitambo.

Ila baki na mmoja michepuko sio dili.
 
Watakupa njia nyingi ila master km master anakuwaga na thamani kiasi kwamba wanwake wawili hawaoni tabu ku share kidume .

Kama hujafikia level hizo ujue bado hujawa field marshall.

Improve ur game.Njia bora ni kuwa bora mpk ukimwambia mwanamke ni mke au mpenzi bado roho yake inakuwa tayari kukutunuku tu kiroho safi haoni kikwazo.By the way ,unahitaji mwanamke mmoja wa kuwa first class na mwingine ambaye atakubali kuwa second class na haya yote yanawezakana ndugu zangu.

Wa first class huyo ndo mke au mke mtarajiwa na thamani yake laZima iwe kubwa kweli sio kuokoteza na huyo second class anaweza kuwa na matako tu na akili za kujua huyu mtu anamke wake hivyo niweke mipaka.

Hawa wote inabidi waridhike na class zao
 
Back
Top Bottom