888I
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 445
- 553
Wakuu,
Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi.
Nimefahamu haya
1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and Investor Services)
Ni taasisi ya serikali inayosimamia mfuko wa pamoja wa uwekezaji (unit trust funds).
2. DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)
Ni soko rasmi la hisa Tanzania.
Unanunua na kuuza hisa za makampuni yaliyosajiliwa, pamoja na hati fungani na bidhaa nyingine za kifedha.
Swali langu kwa wakuu wa JamiiForums:
Ni ipi kati ya hizi mbili imewasaidia zaidi kwenye malengo ya kifedha?
Je, kwa mtu anayeanza, ni UTT AMIS, au ni DSE?
Changamoto na hatari za kila upande ni zipi?
Ningependa kusikia maoni yenu, uzoefu wenu binafsi, na ushauri kwa mtu anayetaka kuanza safari ya uwekezaji...