Utotoni?

Utotoni?

Si utoto tu nakumbuka enzi zangu nasoma secondary tunapeana zamu yakutoroka shule usiku kwenda kununua chapati wakati wenzako wako prepo ukifika waliokutuma unawawekea chapati zao kitandani tena chini ya mto kama hana mto unafunua shuka unaifichia isionekanike
 
Mifuko ya kaptula yangu ya shule ilikuwa inanukia vitumbua muda wote,utoto raha sana
 
Ewe Mwenye enzi,Mungu Muumba wa Mbingu na nchi, Baba mpaji na mwenye kuwakiirimia waja wako baraka kubwa na ndogo, nakushukuru kwa chapiti hii. amen!
hapo hata jicho kujafumba na unavumilia maumivu ya kuchomwa na chapati
 
Back
Top Bottom