Utotoni ulikuwa unapenda mchezo gani?

kitu kombolela bana tena ulifanya nikapigwa na ding mpaka ****** yakawa kama mpira sikuweza kukaa siku 3 kisa niliharibu mtoto wajirani.
 
Aisee nlikuwa napenda kujipikilisha sufuria kisoda au zile vikopo vya viks kingo afu napikia ktk jiko la umeme enzi zile tanelec!
 
nilikuwa addicted na mchezo wa baba na mama.....hadi leo.....
 
Back
Top Bottom