Utotoni dalili ya kwanza kuwa wewe ni wa kiroho or chosen one

Utotoni dalili ya kwanza kuwa wewe ni wa kiroho or chosen one

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,751
Reaction score
15,545
Dalili moja wapo ambayo ni sign tosha kwamba muhusika ni mtu ambae Dunia inamtalajia kumtumia kama Mtendakazi au kiongozi wa mambo muhimu ya Kiroho ni hii

KUKOJOA KITANDANI.
i. Mtu wa kiroho ni mtu anapokea nguvu na maagizo rohoni na kufanyia kazi mwilini.

Kwanza Tafsiri ya ndoto kuwa unaota ukikojoa au kwenda haja kubwa ni kwamba...

ii. Kama ilivyo kwa Mwili unahitaji kwenda toilet kujisafisha kwa kutoa visivyohitajika mwilini, na Roho ni hivo hivo.
When God remove unclean things to your Soul ni kitendo cha purification or Cleaness kiroho.

iii. Pia kitendo cha mtu kuona jambo ndotoni ni dhahili linatokea kiasi cha kwamba mwili unashindwa kujizui na kusupport ni dalili tosha kwamba Mwili wako umeumbwa kupokea vitu vingi rohoni.

iv. Mungu kuonesha utofauti kati yako na watoto wengine ni utajikijolea sana kitandani hadi pale utakapoa anza kujua kukusanya maarifa ya kiroho kwa kumjua Mungu tangu utotoni.

Nature ya Dunia ni kwamba, Kila chenye thamani kina gharama zake.

Ronaldo au Messi kuwa footballer's kuna gharama wamelipa, kimaisha. Unazijua? Maumivu ni mengi

There is a price to pay to get something Wealth.
 
KUKOJOA KITANDANI NI ISSUE YA KIAKILI , KIAFYA ZAIDI NA SIO KIROHO

KUHUSU MESSI AU RONADO
These guys wana nidhamu kubwa as well wapo talented.

Ukiwa na nidhamu na kipaji jambo lako litakuwa maradufu and nothing Else.

NIAMBIE MTU AMBAYE HUFANYA MAMBO MARVELOUS ILA ANA PLAY BELOW THE AVERAGE ?

YUPO ?

So I could expect useme huyu jamaa hana juhudu Ila kainuliwa kiroho na amekuwa MTU mkubwa katika Field

Messi na ronado, wakati wachezaji wenzao wapo likizo wao huwa wanaendelea kufanya mazoezi

They train off seasons.

So don't feed ur mind mambo ya kusadikika

It is true binadamu ni spiritual being , Ila hauwezi kuwa mkubwa kwa Field bila kuwa na juhudi kubwa na nidhamu kubwa.
 
Samia akiona hii akili yako anafurahi sana 😁
Ndio maana wanawapenda sana maana u are weak
20251222_080348.jpg
 
KUKOJOA KITANDANI NI ISSUE YA KIAKILI , KIAFYA ZAIDI NA SIO KIROHO

KUHUSU MESSI AU RONADO
These guys wana nidhamu kubwa as well wapo talented.

Ukiwa na nidhamu na kipaji jambo lako litakuwa maradufu and nothing Else.

NIAMBIE MTU AMBAYE HUFANYA MAMBO MARVELOUS ILA ANA PLAY BELOW THE AVERAGE ?

YUPO ?

So I could expect useme huyu jamaa hana juhudu Ila kainuliwa kiroho na amekuwa MTU mkubwa katika Field

Messi na ronado, wakati wachezaji wenzao wapo likizo wao huwa wanaendelea kufanya mazoezi

They train off seasons.

So don't feed ur mind mambo ya kusadikika

It is true binadamu ni spiritual being , Ila hauwezi kuwa mkubwa kwa Field bila kuwa na juhudi kubwa na nidhamu kubwa.
ni kweli, juhudi na nidhamu.

but mada yangu ni mambo ambayo muhusika mwenye kipaji hawezi kujizui kufanya. yani yanakuja automatic mapema

Mwenye kipaji cha kuimba, dalili huonekana mapema kabla hata hajajijua kama yeye ni Muimbaji mkubwa.
 
Kipaji tafsiri yake ni strength zone eneo ambalo unafanya vizuri.

Mfano Mimi wakati nipo nasoma nilikuwa nina ile kitu inaitwa .

Photographic memory

Yaaani once I glanced at something I could recall it on test or exam very easy .

As well i could do math in my head n.k

So Endapo ningesema i have to take this shit far , ningekuwa Academicians or wherever.

So binadamu huwa ana Eneo ambalo ana strength nalo kwahiyo akiweka nidhamu , juhudi mwisho ndo huitwa kipaji na kuwa mkubwa Sana .

Hii haipo kiroho.
 
Kipaji tafsiri yake ni strength zone eneo ambalo unafanya vizuri.

Mfano Mimi wakati nipo nasoma nilikuwa nina ile kitu inaitwa .

Photographic memory

Yaaani once I glanced at something I could recall it on test or exam very easy .

As well i could do math kichwani n.k

So Endapo ningesema i have to take this shit far , ningekuwa Academicians or wherever.

So binadamu huwa ana Eneo ambalo ana strength nalo kwahiyo akiweka nidhamu , juhudi mwisho ndo huitwa kipaji na kuwa mkubwa Sana .

Hii haipo kiroho.
Mada yangu sio Namna ya kuwa wa Kiroho.

Mada yangu mi dalili ya kwamba una kipaji cha kufanya kazi za Kiroho

Maybe title yangu haijakaa vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom