Utoto raha

Hahahahah sijagoma nimekusubiri sana ivoo

Haujatoa address, nikaishia kunywa juice ya Avocado, yani pale kila kitu kitamu dah! kuanzia dagaa la kuchemsha na kiwango hakishuki. Wamejitahidi sana kumaintain kiwango kwa kweli.

Angel Nylon naona amechangamkia fursa, nikaona si vibaya tukienda kuburudisha makoo Lukuman.

mshana jr utajumuika pamoja nasi?
 
Last edited by a moderator:

Mmmmmmmhhhh Samaritan nani ati kachangamkia fursa? Unamaanisha???
 
Last edited by a moderator:
Unanikumbusha mbali nilishonwa mguuni sababu ya kuchezea baiskeli mbovu
 

Hahahahahaah nambie tu tukutane wapi nami nijumuike siku hiyo nsije breakfast lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaah nambie tu tukutane wapi nami nijumuike siku hiyo nsije breakfast lol

Mh! habari ishabadilika, nasubiri kwanza mshana jr atoe idhini ya kwenda na lini atakua na nafasi, vinginevyo inabidi tuwatenge.

Haya ndio matatizo ya kutokua watoto.... kwa kweli utoto raha. Japo ile ya madirector wa movie bado imashika chati, sijui anazitoa wapi?
 
Last edited by a moderator:

Tuwatenge stori za juice na dagaa naziota
 
Last edited by a moderator:

Wallah yakhee. Ila, mmmhu pangu pakavu hawali pale.
 
Last edited by a moderator:
Wallah yakhee. Ila, mmmhu pangu pakavu hawali pale.

Wasiwasi wako nini? unafikiri namng'ang'aniza mshana jr kwanini twende wote? wadhamini hawatakosekana, ila hofu yangu farkhina akipona mafua tu offer inaexpire kwa sababu hii ilikua ni zawadi ya mgonjwa sasa akipona inabidi utaratibu ubadilike tunaweza kwenda hata pale pembeni kuna mzee anauza bokoboko na juice ya tende nzitoo unatumia kijiko, Unguja raha sana
 
Last edited by a moderator:

Wewweeee, zenji kama hujanenepa hutaki mwenyewe. Lol (laugh out loud )

Cc: my hubby
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…