Utoto Raha

IMG_2554.jpg

web%20Pam's%20Creche%20dancing%20and%20singing%20resized.jpg

images
 
Lol...nimekumbuka mbaliii mie kila siku tukicheza nlikua nakua bi harusi napurwa huyooo poda tunaiba nyumbani lipstick napakwa yako maua fulani yanatoa rangi nyekundu..

Utoto bwana rahaaa....
 
Lol...nimekumbuka mbaliii mie kila siku tukicheza nlikua nakua bi harusi napurwa huyooo poda tunaiba nyumbani lipstick napakwa yako maua fulani yanatoa rangi nyekundu..

Utoto bwana rahaaa....
Mi niliwahi kuwa ba harusi kama mara mbili hivi, hadi ubwabwa ukapikwa
 
Lol...nimekumbuka mbaliii mie kila siku tukicheza nlikua nakua bi harusi napurwa huyooo poda tunaiba nyumbani lipstick napakwa yako maua fulani yanatoa rangi nyekundu..

Utoto bwana rahaaa....

Hahaaa nimeyakumbuka hayo maua..dah utoto raha sana..

Nakumbuka hata kombolela mnabadilishana nguo..kuna siku mimi nilivaa za kiume na huyo mvulana akavaa gauni langu..
 
nimepiga sana show za longo longo...ila enzi hizo ukiambiwa flani mchumba wako unalia kishenzi
 
Me hakuna kilichonivutia hapo zaidi ya hicho KICHULULUU CHAKE......Halafu kimesimama... hahahahahaha duhh... kweli utoto raha

hasa huyo mwenye t-shirt ya blue mikononi.....anaonekana kuwa waziri wa fedha wallah........
 
Back
Top Bottom