Utoro wa Wah wabunge wetu.

Utoro wa Wah wabunge wetu.

Fanto

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
211
Reaction score
83
Katika kikao kinachoendelea cha Bunge letu tukufu, Utoro wa baadhi ya Wah wabunge wetu ulisababisha shughuli za bunge kuahirishwa kwa sababu idadi ya waliohudhuria isingeruhusu kupitisha maamuzi. Mpaka sasa sijasikia watoro hawa wakichukuliwa hatua yoyote kwa kosa hilo. Je ni udhaifu wa Kanuni, Miongozo na Taratibu (walizojiwekea wenyewe)? Je mimi mwajiri wao (mpiga kura) nisubiri mpaka 2015 ili niwaadhibu? Naomba Mwanajamvi yeyote mwenye uelewa mpana na maswala ya Bunge anisaidie. Nimechoka kuibiwa kodi kibao ninazolipa.
 
Wanatunga sheria/kanuni za kuwadhibiti wengine lkn sio znazo gusa masirahi/masimali yao/zao binafsi!mfano sheria ya mafao ya watumishi na nyngne nyingi!
 
Back
Top Bottom