Kasie ni maneno mengi... ili ukiingia uingie na gia kubwa... mwisho wa siku unachemsha mashine... najua pakukupata...Hahahahahaaa sizitaki mbichi hizi
Kasie kisiki kirefu kukiondoa shoka na mundu pekee havitoshi lools
Sema tunatofautiana, kila mmoja anapata mkate kwa style yake, huenda wewe unayetumia uongo unakumbana complication nyingi wakati wa kumnasa mwanamke tofauti na wwngine kama mimi ambao hatuoni ugumu wa mwanamke, hivyo hatuna sababu ya kudanganya.Bado mgeni sana kwenye huyo ulimwengu..
Hata mimi sinaga ugumu na hao viumbe... ni kujua kucheza na akili zao na matakwa yao tu.. ila usicheze na hisia zao...Sema tunatofautiana, kila mmoja anapata mkate kwa style yake, huenda wewe unayetumia uongo unakumbana complication nyingi wakati wa kumnasa mwanamke tofauti na wwngine kama mimi ambao hatuoni ugumu wa mwanamke, hivyo hatuna sababu ya kudanganya.
No wonder love is embedded with material things nowdays
wako hivi basi kumbe uongo kumtongoza demu ni mhimu utampata hata yule ambaye ni adimu wa geti kali ukitumia ukweli humpati demu sasa ninaanza kuapply mbinu ya uongo ulotukuka niwapate wengi...
Nipo pale pale... wewe ni mwepesi sana... nakupiga kimya kimya... bila kelele... sasa kusema au kukaa kimya juu yako... lakini usha...
Kasie ni maneno mengi... ili ukiingia uingie na gia kubwa... mwisho wa siku unachemsha mashine... najua pakukupata...
Teh, kwaio total cost ni 1300....sasa naombeni mjue kututofautisha huyo ulimpata kwa uraisi sio kila dem ni hivyokweli mkuu ukishajua udhaifu wa mwanamke kushnei
kuna mmoja nilimfukuziaga kama wiki moja ivi kila nikimwambia namhitaji ananipiga kalenda mwenyewe akaniropokea naomba mia tatu nikanunue kichwa utumbo na mguu wa kuku nikampatia kesho yake nikashika mkono ili nimshawishi tufike adi geto nikamnunulia hivo vitu vya 1000 kala we kamaliza bada ya mda nikajitanulia miguu kiulaini mpaka leo nikimwitaji tu nampata kwakumnunulia hivo vitu
Fanya kweli basi... maana naona mademu wako style ya kuwapata ni kwa magari tu huna kingine?Kasinde mbona mwepesi tu... anaingia kingi tu... Ni mamuzi tu..
wote nyie niwarahisi sana tofauti ni kwenye gharama tuTeh, kwaio total cost ni 1300....sasa naombeni mjue kututofautisha huyo ulimpata kwa uraisi sio kila dem ni hivyo
Ha ha haa, chezea mwanaume wewe!Kuna mwanamke mmoja anacheo fulani hivi... na ni mzuri ni mzuri sana... yeye kila niki chat nae ni story za maisha fulani hivi ya gharama... kila nikimtongoza anapotezea.... siku akataja udhaifu wake kwamba yeye anapenda sana gari inaitwa Murano yani akiiona dah anapagawa kabisa...
Ikawa point ya ushindi kwangu... nikabadilishana gari na rafiki yangu kwa siku tano tu... akanipa Murano yake... nikamfanyia suprise ya kumfuata kazini nimrudishe kwake.. kwa Murano ya kuazima...
Mbona tulimalizana siku ile ile...
Ndio maana kuna Mkuu jana amekuita DADA.