Hahahaha... Dah! Kwa 1300/=kweli mkuu ukishajua udhaifu wa mwanamke kushnei
kuna mmoja nilimfukuziaga kama wiki moja ivi kila nikimwambia namhitaji ananipiga kalenda mwenyewe akaniropokea naomba mia tatu nikanunue kichwa utumbo na mguu wa kuku nikampatia kesho yake nikashika mkono ili nimshawishi tufike adi geto nikamnunulia hivo vitu vya 1000 kala we kamaliza bada ya mda nikajitanulia miguu kiulaini mpaka leo nikimwitaji tu nampata kwakumnunulia hivo vitu
Kama wewe ni mbishi... mimi mtukutu na sina nidhamu ya uwoga na sijawahi kuogopa chochote, popote.. zaidi ya kuheshimu tu... Alafu wewe mwenye maneno mengi ndiyo mwepesi sana...
Nikiamua nakupata, hakuna liliowahi kushindikana kwangu...
mimi vijana wako hawanisumbui...
Muache atambe...hajakutana na vichwa huyo!Kama wewe ni mbishi... mimi mtukutu na sina nidhamu ya uwoga na sijawahi kuogopa chochote, popote.. zaidi ya kuheshimu tu... Alafu wewe mwenye maneno mengi ndiyo mwepesi sana...
Nikiamua nakupata, hakuna liliowahi kushindikana kwangu...
mimi vijana wako hawanisumbui...
Heshima nayozungumzia hapa siyo hiyo... ni heshima ya kuwa kutokuwa na dharau, matausi wala kejeli...Hahahahaaa haya bana Nikisema hivi si kuwa nimekubali kushindwa .... la hasha bali nimeamka kuacha ili nisije nikatoa siri ya kambi.
Pia ni vizuri kuwa na heshima maana ukiweka ubishi mbele unaweza jikuta unashusha gagulo la sister wako ikawa soo au ya shangazi ni noumer
Muache atambe...hajakutana na vichwa huyo!
Always nyoka kwa chatu hanaga ujanja, kamwe.
Kasinde mbona mwepesi tu... anaingia kingi tu... Ni mamuzi tu..
Hivi huo uongo ni upi ikiwa tayari alishakujua wewe ni maskini?Hayo yapo sana... na mwingine anakuambia kabisa mimi mwanaume masikini hata simtaki... sitaki shida kabisa...
Kidume unajiukuta unaanda kamusi ya uongo ili utimize matakwa yako tu...
Heshima nayozungumzia hapa siyo hiyo... ni heshima ya kuwa kutokuwa na dharau, matausi wala kejeli...
Nashukuru kwa kukubali kushindwa.. maana yake ungekubali sasa hivi...
Zaidi ya mama yangu na ndugu zangu wa kike... mwanamke mwingine yoyote nikimvua gagulo lake wala sitojutia... no matter the age...
Muache atambe...hajakutana na vichwa huyo!
Always nyoka kwa chatu hanaga ujanja, kamwe.
Acha kunishawishi sitaki lawama... uje kusema huwezi niacha...Aaah wapi labda uniwekee ndumba hivihivi utashika mkongojo na Kasie utasikia tuu alinipa hapa hehehehee
Akili ya mwanamke ni zaidi ya uijuavyo... hata ukifumaniwa sasa hivi.. ukijua kupanga uongo, atakuona huna hatia ni bahati mbaya...Hivi huo uongo ni upi ikiwa tayari alishakujua wewe ni maskini?
Acha kunishawishi sitaki lawama... uje kusema huwezi niacha...
Ndio maana kuna Mkuu jana amekuita DADA.Lowasa awa mwenyekiti Wa chadema na kusababisha baadhi ya Nyumbu kujinyea.
Sijakubali kushindwa nimeamua kuacha. .....
I bet hata uweke mzigo mezani hunipati ng'oo
Hahahahaha... nishaziona kwa wengine lakini siyo kwangu... najiamini kuliko hata imani yenyewe...Hahahahaaaa
Waapiii mbadoo sanaaa
Ushakutana na ile..... ukinipiga unanionea, ukiniacha unaniogopa hahahahahahahahaaaaaaaaa
Au ile jamani nishikeni jamani nizuieni jamani nikipigana nae huyu ntamuumiza mimi huku ukirudi nyuma hahahahahhaaa
Ndo wewe hapo πππ
Kuamua kuacha ndiyo kukubali matokeo yenyewe hayo... kukubali kushindwa huko...
Acha kunishawishi na kunipima... alafu uje kusema huwezi niacha na kunipa lawama kibao...
Hahahahaha... nishaziona kwa wengine lakini siyo kwangu... najiamini kuliko hata imani yenyewe...
Moyo wangu hauna nidhamu ya uwaoga hata chembe... na napoamua jambo nafanya kweli... napoamua kukamua nakamua kweli... napoamua kudharau nadharua jumla ila siyo kukuvunjia heshima..
Hiyo naijua sana, ila kupangs uongo kumnasa mwanamke ndio sielewi. Nijuavyo unaweza kumdanganya baada ya kumpata sio kabla.Akili ya mwanamke ni zaidi ya uijuavyo... hata ukifumaniwa sasa hivi.. ukijua kupanga uongo, atakuona huna hatia ni bahati mbaya...
Bado mgeni sana kwenye huyo ulimwengu..Hiyo naijua sana, ila kupangs uongo kumnasa mwanamke ndio sielewi. Nijuavyo unaweza kumdanganya baada ya kumpata sio kabla.
Nipo pale pale... wewe ni mwepesi sana... nakupiga kimya kimya... bila kelele... sasa kusema au kukaa kimya juu yako... lakini usha...Basi endeleza heshima ili heshima uliyonayo isivunjike hasa kwa ze legendary