Wasomaji ni tofauti mkuu.
Wengi wanaosoma magazeti ya kingereza ni watu wa maofsini, diplomatics, wafanyabiashara wakubwa ambao siku kwa siku wanafuatilia sera mbali mbali za serikali na uchumi unavyoenda.
Kwa upande wa kiswahili tunasoma sisi wananchi wa kawaida tunaojali nani kaamkaje, kiongozi yupi katumbuliwa, mchele au sukari bei imefikia wapi n.k ...