Utofauti wa hizi US special forces


Ndahani siku hizi false identity imefutwa unless otherwise wewe ni raia wa ufaransa whether by birth or acquisition hicho ndicho ninachojua kuhusu new regulations cjui kama kuna change yoyote... Yet nafikiri u can acquire false identity after serving 5 yrs of ur initial service tho hiyo iko applicable within the Legion only huwez toka hapo ukarudi likizo Tz under ur declared false ID huku utabaki kua the same Citizen we knew u under ur name of birth. Ila kama ulibadili uraia kupata false ID sasa hiyo ni different case cz the moment u are in ww sio tena mtz and ur movements will b monitered no one will allow u to jeopardy the mighty TZ.
 
Last edited by a moderator:
US army Rangers ---hawa jamaaa ni komandoo ambao huweza kutumiwa kama "spies". Hawa hutumika kama watu wa kwanza kwenda kwenye uwanja wa mapambano ili kuangalia hali ikoje kabla ya askari wengine kupelekwa!


Navy SEALS ---hutumiwa kwa kazi maalumu. Yaani mazingira yanajulikana, mpango unajulikana, mlengwa anajulikana (target) na kazi yao ni kwenda kufanya shambulio maalumu kwa muda mfupi na kuondoka kwenye eneo la tukio. Kwahiyo kwenye vita ambayo Marekani hajui adui yukoje huwa hawapelekwi hawa!

Ila ambush ilitokana na communication failure iliyosababishwa na milima mingi maeneo yale na toka mwanzo waliambiwa you should espect comm problem!

 
Hawana kikosi cha kuvunja matofali kama chetu....

Boti zao zinafanyiwa maonyesho kwenye maji. Hawa wa kwetu wanazibeba, wanaziwekea matairi na kuzileta uwanjani!
 
Boti zao zinafanyiwa maonyesho kwenye maji. Hawa wa kwetu wanazibeba, wanaziwekea matairi na kuzileta uwanjani!

Kwani kuziwekea taili ni kitu cha ajabu?
 
Kwani kuziwekea taili ni kitu cha ajabu?

Boti za kivita zinafanyiwa maonyesho kwenye maji au uwanjani? Mbona ndege za kivita hawakuzileta uwanjani (walizirusha angani)?
 
Boti za kivita zinafanyiwa maonyesho kwenye maji au uwanjani? Mbona ndege za kivita hawakuzileta uwanjani (walizirusha angani)?
Je zilivyorushwa angani Ilifyatua mizinga? Je ulitaka ule umati uende baharini wakaziangaliae tu boti wakat inawezekana kuzileta mhala pale na watu wkaziona,mimi nadhani madhumuni ya yale maonyesho yalikuwa tu kuonyesha kwamba tuna vifaa vya aina hii na maelezoaliyokuwa anayatoa mc yalijitosheleza kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…