Utofauti wa hizi US special forces

Utofauti wa hizi US special forces

Wadau inaonekana mnafurahia tuu nondo za mkuu mosad007, ila hamumpi hata motisha kidogo. Ingekuwa darasani tungempigia makofi, ila kwa hapa mtupieni hata like mojamoja jamani..!

Ha ha ha wacha izo bana...
 
Daah kuna watu mko deep kwenye mambo ya nje, Binafsi ukiniuliza kati ya mgambo wa jiji na hawa mgambo wa magwanda yanayofanana na ya JKT tofauti zao ata sijui, nitakuambia mgambo wa jiji ni wababe zaidi kwa kuwa ni wataalamu wa kubeba masufuria ya mama ntilie wanaouza chakula sehemu kandoro alizokataza!

Mkuu tofauti yao ni kuwa mgambo wa jiji mabaunsa sana kwa kubeba sufuria, wakati wale wengine wana mikwara sana..! ( wadhamini kidogo) ..
..
..
Haya tuendelee na mada.
 
Ndugu wana jukwaa
Naomba maelezo kutoka kwa yeyote mwenye uelewa wa hizi special forces za kimarekani,nimejaribu kufatilia mwisho wa siku nikajikuta zinanichanganya tu,so naomba mnisaidie kujua;

a)Nini tofauti kati ya hizi special forces mbili nitakazo zitaja hapo chini?
b)Ipi kati ya hizo hupewa kipaumbele zaidi ya nyingine?
C)Mafunzo yepi ni magumu zaidi ya mengine?

Special forces zenyewe ni:-

1.US Army Rangers
Hiki ni kikosi cha wanajeshi wa kimarekani waosemekena kuwa ni well trained in the world,wanasema hufanya operaions mbalimbali kote duniani na katika mazingira ya aina yeyote yale.

2.US Navy SEAL
Special force hujumuisha makomandoo mbalimbali wa kimarekani,pia hutumika katika operations mbalimbali

NOW naomba maelezo ya kina tafadhali kwa mwenye kujua tofauti na ufanano kati ya SOf hizo hapo juu
Hapo bado kuna green berets na delta force
 
Mkuu,

Tofauti kati ya level 3,2, 1 na masters level commando ni ipi?

Commando Course ni moja tu haipo kwenye level 1-3 au Masters imegawanywa kwenye Mafunzo (exercises) yanayoendana na mda labda zoezi flani ni wiki 2 au tatu mkimaliza waliofuzu wanaendelea na lingne mpka mwisho. Na mafunzo yako mengi ila mengne ni kawaida kbsa kama Map Reading & Navigation, First Aid, Signals na mengnneyo yale basic ila ukija kwenye specific kuna All arms, Field craft & Tactics, Amphibious training, Organisation & Role of Commando Forces, Vertical Assault, Survival skills, Hand to Hand fighting, Subotage & Escape, Physicall Fitness (highly demanding) yako mengi tu na mwisho ni paratrooping..
Masters za jeshi zipo lakin hizo ni more on Administrative issues kwa sasa tunatoa pale Kunduchi NDC (National Defence College)
 
Jambo afande.
 
Nikupe tu ufaham zaidi kwanini unaona Rangers wanapewa majukumu zaidi ya infantry ambayo ndiyo basic role yao.. Hapa Tanzania hatunaga standby Reserve army kama kwa baadhi ya majeshi ya wenzetu sisi Reserve yetu ni hawa unaowaona Polisi, Magereza, Mgambo, JKT, na Uhamiaji ingawa hiyo ya mwisho not often included.. Sasa role kuu ya magereza sio vita wao main role yao kudeal na wafungwa na magereza ya nchi ila kwenye kipindi cha vita magereza wote ni frontiers wanasonga usiku na mchana sasa hapa ingekuwa wenzetu huko wikipedia ungeakia wanakwambia "Magereza are also well trained to fight as Infantriers and well equiped for Full scale War.. ndicho unachosoma kuhusu Rangers. Kingne nachojua kuhusu Rangers ni kua wao ni Airborne wanaruka na mwavuli hewani bila shida hawa kama ni kuwafananisha basi replica yao ni French Foreign Legion 2nd Rep paratroopers kikosi maalum cha elite soldiers ndani ya French Foreign Legion.. una chochote niulize tu..!!!!

nashukuru mkuu Mossad,umenifungua kwa kiasi kikubwa,pia ilinibidi nirudi tena kuperuzi zaidi na kiukweli nimepata maelezo mazuri sana na nimezidi kulielewa kwa kiasi fulan jeshi la marekani.

Kkilichonifurahisha zaidi ni kujua kuwa US Army Rangers waasisi wake(waliotoa mafunzo mwanzoni kabisa) ni makomandoo wa Britishi.

Nikirudi kwenye upande mwingine niseme tu naweza kuungana na wewe Mossad kwamba mambo mengine yanayofanywa na wamarekani ni kama propaganda,mfano wa kuweka utitiri wa vikosi mbalimbali kama hao Rangers,SEALs,Delta Force ambao kimsingi naona they are almost the same.Lakini pia nakubali kuwa wenzetu wapo vizuri sana kwenye masuala ya ulinzi.
 
Angalia sana unapewa majibu yanayotoka Wikipedia ni majibu ambayo si sahihi sana maana kila mtu ana uwezo wa kufanya "citation" yaani kuongeza ama kupunguza maelezo kuwa makini sana usije ukapotoshwa
 
sawa mkuu ika katika jukwaa lolote la jamii forum ukiona mwenzio katoa kitu ambacho wewe unaona hakina ukweli au si sahihi basi unatoa hoja yako ile unayoona ni sahihi na ndio tunavyojifunza.Mheshimiwa Raisi Kikwete alisema; "za kuambiwa changanya na za kwako".
 
Nikupe tu ufaham zaidi kwanini unaona Rangers wanapewa majukumu zaidi ya infantry ambayo ndiyo basic role yao.. Hapa Tanzania hatunaga standby Reserve army kama kwa baadhi ya majeshi ya wenzetu sisi Reserve yetu ni hawa unaowaona Polisi, Magereza, Mgambo, JKT, na Uhamiaji ingawa hiyo ya mwisho not often included.. Sasa role kuu ya magereza sio vita wao main role yao kudeal na wafungwa na magereza ya nchi ila kwenye kipindi cha vita magereza wote ni frontiers wanasonga usiku na mchana sasa hapa ingekuwa wenzetu huko wikipedia ungeakia wanakwambia "Magereza are also well trained to fight as Infantriers and well equiped for Full scale War.. ndicho unachosoma kuhusu Rangers. Kingne nachojua kuhusu Rangers ni kua wao ni Airborne wanaruka na mwavuli hewani bila shida hawa kama ni kuwafananisha basi replica yao ni French Foreign Legion 2nd Rep paratroopers kikosi maalum cha elite soldiers ndani ya French Foreign Legion.. una chochote niulize tu..!!!!

Braza siku moja uje utupange uanziashe thread ya live streaming utupe darasa nasi tukulize eeeeee.
wako mwafunzi mtiifu Frank
 
Israel mossad hana mpinzani dunia nzima, hata hao Wamarekani wataalam wao wengi ktk jeshi lao ni Waisrael hata ndani ya serikali ya Marekani kuna mkono wa Myahudi..:israel:
 
da aisee huwa ikifika katika suala la ulinzi kwa marekani ni priority number one kabla ya kila kitu
 
Navy Seal ni wazuri lakin wako over facilitated watu wanapandishwa ndege wanashushwa in the middle of deep sea kwenye Manowari inawachukua mpka kwenye Nyambizi wanaingia wanapelekwa mpka ufukweni wanaachwa wanaenda kumuua msomali mmoja tu wakimaliza wanatoroka na speed boat halafu helcopter inawakuta njiani inawanyanyua mpka kwenye manowari hii tunaita over facilitated halafu vyombo vyao vya magharibi vinawapa promo mno ile too much jus tu kuifanya US ionekane Super power ulimwenguni

Ni kweli kabisa kuwa SEALS wamekuwa over promoted. US Marines nao wanatengeneza makomando wazuri tu kama Rangers na Delta Force kwa ajiri ya amphibian landing.Lakini siku hizi ni habari za SEALS na their unique abilities....in short SEALS walianza baada ya ile failure kubwa ya operations Eagle Craw...ya kukomboa mateka wa Marekani Irani mwanzoni wa mwaka 80. Nadhani SAS au Spetsnaz au Sarayet Metkebal au yoyote awaye yule could meet the overrated SEALS and do something. Mbona Somalia 1992/3 hao makomandoo walikimbizwa kama hawana akili nzuri?

Hata hivyo, kwa investment kubwa ya Marekani kwenye jeshi lake, overtime imeweza kutengeneza viongozi wazuri sana ndani ya jeshi kama hao wakina Bill McRaven...Brilliant people that take leadersship to the next level. Nimeona juzi muheshimiwa Raisi kaanza kupeleka vitabu kwenye Library za jeshi...labda wataanza kusoma na kuelimika na yale maisha yao ya kinidhamu watatengeneza next crop of leaders from hawa tunaowaona ambao wengi hawana jipya.
 
Commando Course ni moja tu haipo kwenye level 1-3 au Masters imegawanywa kwenye Mafunzo (exercises) yanayoendana na mda labda zoezi flani ni wiki 2 au tatu mkimaliza waliofuzu wanaendelea na lingne mpka mwisho. Na mafunzo yako mengi ila mengne ni kawaida kbsa kama Map Reading & Navigation, First Aid, Signals na mengnneyo yale basic ila ukija kwenye specific kuna All arms, Field craft & Tactics, Amphibious training, Organisation & Role of Commando Forces, Vertical Assault, Survival skills, Hand to Hand fighting, Subotage & Escape, Physicall Fitness (highly demanding) yako mengi tu na mwisho ni paratrooping..
Masters za jeshi zipo lakin hizo ni more on Administrative issues kwa sasa tunatoa pale Kunduchi NDC (National Defence College)

Brilliant contribution!
 
Nikupe tu ufaham zaidi kwanini unaona Rangers wanapewa majukumu zaidi ya infantry ambayo ndiyo basic role yao.. Hapa Tanzania hatunaga standby Reserve army kama kwa baadhi ya majeshi ya wenzetu sisi Reserve yetu ni hawa unaowaona Polisi, Magereza, Mgambo, JKT, na Uhamiaji ingawa hiyo ya mwisho not often included.. Sasa role kuu ya magereza sio vita wao main role yao kudeal na wafungwa na magereza ya nchi ila kwenye kipindi cha vita magereza wote ni frontiers wanasonga usiku na mchana sasa hapa ingekuwa wenzetu huko wikipedia ungeakia wanakwambia "Magereza are also well trained to fight as Infantriers and well equiped for Full scale War.. ndicho unachosoma kuhusu Rangers. Kingne nachojua kuhusu Rangers ni kua wao ni Airborne wanaruka na mwavuli hewani bila shida hawa kama ni kuwafananisha basi replica yao ni French Foreign Legion 2nd Rep paratroopers kikosi maalum cha elite soldiers ndani ya French Foreign Legion.. una chochote niulize tu..!!!!

mossad007, ipi athari ya French Foreign Legion kwa nchi kama Tanzania? Maana mimi naweza kwenda kule na nikaruhusiwa kuwa mwanajeshi kwa kutumia false identity and yet natumika kama mfaransa popote pale, ikibidi kuja kuhujumu hata nchi yangu ya kuzaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Maelezo yameshiba kabisa kuna haja ya kuanzisha jukwaa la ulinzi kwa manufaa ya Taifa letu
 
Back
Top Bottom