Army Ranger wapo kwenye US Army tu.. Sisi huku tunaita Land Forces.
Navy SEAL ni Special Naval Warfare Unit wanaooperate katika mazingira yote hawako chini ya Regiment yoyote wao wanaripoti Direct Pentagon chini ya Kamanda wao William Mc Raven tuseme ni kama Jeshi Maalum linalojitegemea wako 8000. Halafu kuna Delta Force wao walikuwepo kabla Navy SEAL wana Operate sana katika Civilian Life lakini hawana tofauti na Navy Seal wao sio paratroopers wana mode ya Infrantry na Amphibian ingawa behind haya yote kuna jambo inabidi ufaham.
With GDP ya dola trillion 16 na Budget ya dola trillion 3 US wana excess ya dola trillion 13 ambayo inabidi waitumie kulinda na kutengeneza mapana ya maslahi yao duniani through
1. Political Influence
2. Military Influence
3. Propaganda..
Huo utitiri wa Makomandoo ni Propaganda na nikuambie tu zaman Pentagon walikua na kitengo cha propaganda against East ( Soviet & Communist Block ) ambacho kilikua kinagharamia filamu zinazoponda East mfano filamu za kuna Rambo mara yupo Vietnam mara anawaua warusi zile zilikua zinagharamiwa na Pentagon kama moja wapo ya propaganda za kuutangaza ubora wa Marekani dhidi ya Maadui zake wakuu.. Sasa na hii misururu ya makomandoo wanaofanya kazi moja ni kuionesha US kama moja ya taifa lililojisheheni na lenye ubora wa hali ya juu ingawa inaweza ikawa hivyo lakini sio kila mahali na sio kila wakati.
Wale jamaa wa lone survivor ni navy seal, walikua hatari sana ila muziki wa taliban waliujua!
Tafuta Hizi movies
- Lone survivor
- Act of Velor
- Captain Phillips

Navy Seal ni wazuri lakin wako over facilitated watu wanapandishwa ndege wanashushwa in the middle of deep sea kwenye Manowari inawachukua mpka kwenye Nyambizi wanaingia wanapelekwa mpka ufukweni wanaachwa wanaenda kumuua msomali mmoja tu wakimaliza wanatoroka na speed boat halafu helcopter inawakuta njiani inawanyanyua mpka kwenye manowari hii tunaita over facilitated halafu vyombo vyao vya magharibi vinawapa promo mno ile too much jus tu kuifanya US ionekane Super power ulimwenguni
Army Ranger wapo kwenye US Army tu.. Sisi huku tunaita Land Forces.
Navy SEAL ni Special Naval Warfare Unit wanaooperate katika mazingira yote hawako chini ya Regiment yoyote wao wanaripoti Direct Pentagon chini ya Kamanda wao William Mc Raven tuseme ni kama Jeshi Maalum linalojitegemea wako 8000. Halafu kuna Delta Force wao walikuwepo kabla Navy SEAL wana Operate sana katika Civilian Life lakini hawana tofauti na Navy Seal wao sio paratroopers wana mode ya Infrantry na Amphibian ingawa behind haya yote kuna jambo inabidi ufaham.
With GDP ya dola trillion 16 na Budget ya dola trillion 3 US wana excess ya dola trillion 13 ambayo inabidi waitumie kulinda na kutengeneza mapana ya maslahi yao duniani through
1. Political Influence
2. Military Influence
3. Propaganda..
Huo utitiri wa Makomandoo ni Propaganda na nikuambie tu zaman Pentagon walikua na kitengo cha propaganda against East ( Soviet & Communist Block ) ambacho kilikua kinagharamia filamu zinazoponda East mfano filamu za kuna Rambo mara yupo Vietnam mara anawaua warusi zile zilikua zinagharamiwa na Pentagon kama moja wapo ya propaganda za kuutangaza ubora wa Marekani dhidi ya Maadui zake wakuu.. Sasa na hii misururu ya makomandoo wanaofanya kazi moja ni kuionesha US kama moja ya taifa lililojisheheni na lenye ubora wa hali ya juu ingawa inaweza ikawa hivyo lakini sio kila mahali na sio kila wakati.
mkuu Mossad unaposema Army rangers wapo in the US amy only ni kama umeniacha kidogo kwasababu ukisoma kwenye wikipedia inaonyesha hata hao SEAL ni special force ndani ya US Army,pia ukisoma Maelezo kuhusu US army Rangers inaonyesha wanaweza kupigana katika mazingira yoyote yale iwe angani,majini na nchi kavu kama SEAL and they say US army Rangers ndio best trained force in the world kumaanisha wanawazidi hata SEAL,
kama wanaweza kupigana katika mazingira yoyote then kwanini mkuu Mossa uwakategorize hwa Army Rangers as Infantry(askari wa miguu)?.
Nakapanya.. US ina majeshi yafuatayo
1. Army (infantry)
2. Air Force
3. Navy
4. Marines
5. Coast Guard
Halafu wana Reserve ya majeshi yote.
Ukisema SEALs ni army na mimi ntakuuliza mbona wanaitwa NAVY SEALs..?? Cha kujua hapa ni kua kuna mfumo mpya ndani ya Jeshi la Marekani unaitwa JSOC (Joint Special Operation Command) labda nikikuelezea huu ni mfumo unahusisha Combination ya idara na majeshi mbalimbali ndani ya pentagon na Taasisi nyngne za Usalama kafika kufanikisha malengo ya Ulinzi. mfano Opetation Neptune Spear ya kumkamata Osama basically ilukua Operation ya CIA lakini ilifanywa na SEALs Team 6 chini ya mfumo huu wa JSOC ambao uko ki coordination zaidi.
Sasa nikirudi kwenye query yako.. Mfano Marine wao ni infantry lakini wako chini ya Navy Command au niseme ni kikosi cha ardini cha wanamaji. Sasa SEALs ndo wana operate ndani ya JSOC hawako katika jeshi maalum na William Mc Raven mkuu wa SEALs anaripoti moja kwa moja kwa Chief of Joint Staff Five Star General wa Pentagon wala haripoti kwa mkuu wa US Army wala sio Airforce wala sio Navy na wengneo ila kwa tamaduni za kijeshi Infantry ndio kikosi Mama na askari woooooteee lazima wapewe mafunzo basic ya infantry (Cadet Course) uwe Airforce, uwe Navy, uwe Cyber army uwe mpishi uwe brass band uwe yeyote yule mafunzo basic ya infanrty lazima upitie lakini ili uwe Infantry sio lazima upewe mafunzo ya Navy, Airforce na wengneo hapa ni kukujibu tu kwanini unaona SEALs wanakua categorised kama branch ya US Army (infantry) ni kwasababu tajwa hapo juu. Kiutendaji SEALs sio US army na mkuu wao haripoti huko.
Tuje kwa Rangers.. Kutokana na bajeti kubwa na Technology advancement it is waste of resources kua na Special trained personel wanao perform only single task ndio maana Rangers wakawa multi tasked lakini basically nilikua najibu swali la mtu aliyetaka kujua tofauti ya hawa wawili.. na ikifika hapo basically Rangers uwa ni infantry tu na Rangers unaweza sema ni Special Branch ya Marines ukifuatilia Historia hawa walihusika sana na ile famous invasion ya "Normandy" kule France sasa role yao kubwa ni hiyo infantria men ila wenzetu wana pesa nyingi nitakupa tu mfano ukienda US Army ingawa ni Jeshi la Ardhini lakini wana Ndege zao wenyewe sasa utajiuliza how comes wakati tayari kuna Air force..?? Jibu ni kua too much money what should they do..?? Ukienda Marines wapo chini ya Navy lakini wana branch ya Air Force na ndege zao wenyewe lakini hao Navy pia wana Branch yao ya Air Force halafu bado kuna Jeshi la Air Force pia so kwetu maskini its a bit comlicated lakini kwao sio complicated hata..
Nimalizie tu hicho kipengele cha best trained.. information za wikipedia sio kila kitu ni as accurate as u read nikwambie tu hata ww unaweza weka taarifa wikipedia na dunia ikasoma so u need to have inside information kuchanganua mambo.. US watakwambia kila Jeshi lao ni best trained than the other mwisho wa siku unafkiri jeshi lipi ndo litakua best than the other.. ni ile ile hadithi ya kila baba atakwambia alikua wa kwanza darasani sasa nani alikua anakua wa mwisho.. (propaganda tu) ... za kuambiwa changanya na zako.