Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Ndugu wana jukwaa
Naomba maelezo kutoka kwa yeyote mwenye uelewa wa hizi special forces za kimarekani,nimejaribu kufatilia mwisho wa siku nikajikuta zinanichanganya tu,so naomba mnisaidie kujua;
a)Nini tofauti kati ya hizi special forces mbili nitakazo zitaja hapo chini?
b)Ipi kati ya hizo hupewa kipaumbele zaidi ya nyingine?
C)Mafunzo yepi ni magumu zaidi ya mengine?
Special forces zenyewe ni:-
1.US Army Rangers
Hiki ni kikosi cha wanajeshi wa kimarekani waosemekena kuwa ni well trained in the world,wanasema hufanya operaions mbalimbali kote duniani na katika mazingira ya aina yeyote yale.
2.US Navy SEAL
Special force hujumuisha makomandoo mbalimbali wa kimarekani,pia hutumika katika operations mbalimbali
NOW naomba maelezo ya kina tafadhali kwa mwenye kujua tofauti na ufanano kati ya SOf hizo hapo juu