Utofauti mkubwa wa umri na dini

Utofauti mkubwa wa umri na dini

Umesema vyema sana.
Mimi ni mkatoliki pure ila ubaguzi wa kidini ni kitu ni kitu ambacho sijawahi kukielewa kabisa.
Mtu anayeendekeza udini uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana, bahati mbaya sana mwenyewe anakua hajielewi.
 
Mtu anayeendekeza udini uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana, bahati mbaya sana mwenyewe anakua hajielewi.
Nyie hamna dini kwahiyo mnataka wote tusiwe na dini acheni ujinga,msifananishe uislamu na dini nyingine

NYIE BAKIENI NA MASANAMU YENU
 
Nyie hamna dini kwahiyo mnataka wote tusiwe na dini acheni ujinga,msifananishe uislamu na dini nyingine

NYIE BAKIENI NA MASANAMU YENU
Kwa dini ipi unayoiongelea hii hii ya Mtume kula kitoto cha miaka 6 na kutunziwa mito ya pombe ?
 
Back
Top Bottom