Utofauti mkubwa wa umri na dini

Utofauti mkubwa wa umri na dini

[FONT=times new roman][SIZE=5]Nina mambo kadhaa nataka kuchangia hapa;[/SIZE][/FONT]

Kuna mdau mmoja alisema kwa mujibu wa uislamu wanawake hawana dini,hii kauli sio kweli,dini wanayo ila wana mapungufu kadhaa katika kutekeleza ibada zao,mfano katika uislamu mwanamke haruhisiwi kuswali au kufunga akiwa katika siku zake,kwahiyo hapo kama ni ibada ya swala imempita ina hapo kuna upungufu na kama ni funga ataifunga siku nyingine akiwa twahara

Upungufu mwingine unaonekana pale wanapo shawishiwa kuolewa na watu wa dini nyengine ,kwakuwa wao wanataka ndoa basi hawaangalii madhara mengine ambayo yanaweza kupatikana kwenye imani yao,mfano mmesema akiolewa na mkatoliki tayar watoto watakuwa wakatoliki

Lakini pili huyu kuacha ibada zake ni rahisi sana kwakuwa yupo na mume ambaye hana imani yake hivyo ni rahisi sana kumtoa kwenye reli,hizo kwa ufupi ni baadhi ya hasara za ndoa mseto,ingawa kuna nyingine.

Swala la umri sio tatizo,kwani hesabu za umri kwa mwanaume inatakiwa amuoe mwanamke ambaye ni nusu ya umri wake jumlisha saba [7] mfano mwanaume una 40 basi mkeo awe na nusu ya umri ambao ni 20 jumlisha 7,maana yake ikiwa huyo mke ana 27 ni perfect au less fine pia,mwanaume anatakiwa awe mkubwa zaidi ili awe mkomavu kumuongoza mke,na jua wanawake vile vile wanachakaa haraka kutokana uzazi,kwahiyo mtazeeka sawa

Ila nasikitika huyo Dada yetu wa kiislamu akikubali kuolewa na wewe au wazazi ambao hawana dini wakikubali hili,dada yetu anaelekea kwenye ukafiri

Asante
 
Karn

Karne hii bado una udini wa namna hiyo, pole sana mkuu.
 
Mkuuu shikamoo nimesoma mara 10 nikalia sana sana mwambie azingatie hiyo sentence kwa umakini mkubwa sanaaaa maaana atakuja kulia kama mimi
Hakika, ila sometime formular zinakwama, umakini ni muhimu sana.
 
Hakuna cha kunyooka wala nini, wahuni kama wahuni wengine tu. Kitu kilichoanzishwa na mwanafamu hakiwezi kuwa timilifu kwa 100%
Umesema vyema sana.
Mimi ni mkatoliki pure ila ubaguzi wa kidini ni kitu ni kitu ambacho sijawahi kukielewa kabisa.
 
Huwezi ukaelewa kwakuwa dini ya uislamu ni tofauti na dini ambazo watu wanaweza kuamua sheria gani ziwepo na zipi zisiwepo,dini ambazo zina ruhusu ushoga ,dini ambazo mapadri wanakuwa wawakilishi wa Mungu katika kusamehe zambi.

Anyway tutaongea mengi hapa,kikubwa naomba huyo binti usimpate kwakuwa anaelekea kuangamia katika ukafiri

Siku ya ndoa yetu (tena mbele ya padre) Nitakualika ubwabwa mkuu.
 
Back
Top Bottom