Happy new year 2026 MMU.
Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu wangu wa muda mrefu kufa kabisa.
kabla sijaamua kufikisha taarifa kwa wazazi wa huyu binti wa ki-islamu, kuhusu nia yangu ya kutaka kumuoa binti yao, nataka kujua changamoto au inaathari zipi ndoani baadae kwa haya mambo mawili.
1. kuoana ndoa ya mkristo na muislamu (binti ni muislam ila hawajashika dini sana, mimi ni mkristu nilielelewa na kukulia malezi ya dini)
2. kufanya ndoa na binti uliemzidi miaka 10+ (binti ana miaka 19).
Wenye uzoefu na izo hali za ndoa leteni madini.