Utofauti kati ya Wanaume na Wanawake katika kukaa bila nguo mbele ya wenzao

Sisi wakati tunasoma shule za msingi na sekondari mbona tulikuwa tunaogelea uchi mtoni.

Alafu hata home bro alikuwa na tabia ya kukaa uchi tukiwa room. Imagine mda wa msosi tukiitwa anatoka na boxer tu kifua wazi anakaa mezani.

Maza alikuwa anamwangaliaga tu hasemi kitu. Wamama wana huruma sana. Mzee akiwepo lazima bro avae jeans.
Mlipata malezi mabaya sana yasiyo ya kistaarabu. Ni ukosefu wa malezi mema. Mimi siwezi hata kukaa na boxer na wenzangu. Usiku nalala nimevaa boxer siwezi lala uchi. Ila nikiwa peke yangu mchana naweza kaa uchi nikitembea tembea ndani peke yangu.
 
Hao wanawake HAWANA akili na hawajitambui hata bustani ya Eden wale walevwatu walijificha baada ya KUONA wapo uchi .Sasahivi wanawake wamekuwa mapunguani wanajitokeza ili tuone uchi WAO. UKIONA Wanaume hatuwezi KUFANYA upumbavu wa kukaa uchi pamoja ujue tunajitambua tunajielewa kama wale BINADAMU wa kwanza kuumbwa.Hao wanawake HAWANA tofauti na MBWA.
 
Hatukuwa mashoga
Nakubaliana na wewe kabisa...hata mimi niliishi na mshikaji 2years japo haikuwa self but hatukuwahi kukaa uchi bila boksa seeing each other hata mara moja... kwa mazingira ya kiumeni shule ilikuwa kawaida
 
Write your reply...Kwa wanawake inawezekana ila kwa wanaume hapana au labda dalili za ushoga ziwe zimehusika
 
Back
Top Bottom