Utofauti kati ya Wanaume na Wanawake katika kukaa bila nguo mbele ya wenzao

Najaribu kuvuta picha mwanaume ananzaje kukaa naked mbele za madume wenzake hahahahahahahahahaha dah sjui umewaza nn
Tena raia walikuwa na mtindo anaenda kuoga anatoka na mapovu anazunguka dom zima anajisugua then anarudi bafuni kuoga tena akitoka hapo anatembea tena dom zima mpaka anakauka mtu hajavaa kitu!
 
hawaoni aibu
 
Mwenye govi ana tatizo gani?? Hujui kuwa hao ndo wana nguvu zaidi kwenye mechi?? Huwa wana uwezo wa kufunga magoli zaidi kwani ngozi yao hufunika kichwa kisiupoteze ule u soft soft wake. Mliokatwa tiyari sugu ishaingia na kufanya u soft kuisha.
Huo usoft unanuka shombo. Kuwa mstaarabu kachonge mzula huo
 
Wajameni tusaidiane

Huwa nawaza sipati jibu, kwanini ni rahisi kwa wanawake/wasichana kukaa bila nguo hata mmoja wakiwa pamoja vyumbani au mabwenini ila ni ngumu kwa wanaume/ vijana wa kiume kukaa bila nguo wakiwa pamoja?
Hostel moja ya chuo kimoja hapa nchini yani hilo block la boys wanatembea uchi wa mnyama wengine na boxer hii imetokana na foleni ya kuoga ili kuwai vipindi alafu unakuta maji yanasumbua hivyo watu wanajikuta kwenye foleni ya kuoga hilo bafu ni kubwa sana linaweza kuchukua watu kama kumi na tano au ishirini kwa pamoja , wajamaa walikua wana mind mtu kuwai bafuni alafu akafunga mlango kwa ndani , watagonga kwa nguvu , unasikia kama wewe mwanamke si uende kuoga kwa wenzako kule unafunga funga mlango wa nini ukitoka lazima tukukague , basi unasubili wew mpaka wanaamua kusepa kwenda kuoga flow ya juu makelele wanayopiga hapo washikaji wakisikia mtu anatoka kuoga wanachungulia nani alifunga mlango wanaanza kukuzingua hapo baadae wajamaa walionda kuoga juu wanarudi wanauliza nani alijifungia bafuni wanakifuata room kukuzingua.
 
Duuh,,hatari

wanaume tunamawazo mabaya sana,unaweza ukaa naked kwa jamaa zako baadae utaona wanakusifia una matako lainiila ni kawaida mm binafsi nimekaa sana uchi kutokana na mazingira,sehem za bording schools na majeshini ni normal tu ila utani lazima uwepo ,unaweza ukashikwa tako na jamaa kisha akatoka nduki,ilimuradi vituko tu ila nitofauti na wanawake wanao weza kushikana makalio na wakasifiana kwa ukubwa na ulaini au chuchu na mengineyo ila siyo men,Ukitaka ugomvi na mtu mshike matako hasa mwanaume mwenzako,
😂😂🙌
 
Tukumbuke kuna makonki master siku hizi...Linda Marinda yako
 
Kimsingi sisi wanaume tumeumbwa tukiwa na heshima (respect) + ufalme wa asali....... so kukaa uchi mbele ya wafalme wenzio ni kujidhalilisha/kujishushia mamlaka
 
Mwenye govi ana tatizo gani?? Hujui kuwa hao ndo wana nguvu zaidi kwenye mechi?? Huwa wana uwezo wa kufunga magoli zaidi kwani ngozi yao hufunika kichwa kisiupoteze ule u soft soft wake. Mliokatwa tiyari sugu ishaingia na kufanya u soft kuisha.
Kuna mwanamke aliniambia akigundua mwanaume ana Govi lazima amkatae!
Mkono wa Sweta sio dili.
 
Enzi za chuo Nilikaa na mshkaji wangu gheto moja, kitanda kimoja, self na choo ndani kwa miezi 8 bila hata mmoja wetu kumuona mwenzake bila boxer.
 
Back
Top Bottom