Utoaji wa nishani uwanja wa Sh. Amri Abeid: Maduka yanayozunguka uwanja yakaguliwa na mbwa wa Polisi na kufungwa

Maduka yote yanaozunguka uwanja wa Sh. Amri Abeid yamefunguliwa kusachiwa na mbwa halafu yatafungwa.

Hivyo hakuna biashara leo na kesho kupisha utoaji wa nishani kwa wajeda.

Sasa sijajua watafidiwaje hao watu na Serikali maana wengi wao wana marejesho ya kibenki.

Hii ni post ya FB ...Insta...au JF? wewe ni great thinker?nchi hii punguani bado wapo!kazi ipo!
 
Maduka yote yanaozunguka uwanja wa Sh. Amri Abeid yamefunguliwa kusachiwa na mbwa halafu yatafungwa.

Hivyo hakuna biashara leo na kesho kupisha utoaji wa nishani kwa wajeda.

Sasa sijajua watafidiwaje hao watu na Serikali maana wengi wao wana marejesho ya kibenki.

Tangu nimepata ufahamu mimi huo uwanja wa sheikh amri abeid kumefanyika shughuli nyingi sana tokea enzi za kina mzee ruksa kuna wakati walikuwa wakija marais wote wa east africa na shughuli kufanyikia humo humo kiwanjani na haijawahi tokea maduka yote yanayozunguka uwanja kukaguliwa na yakafungwa eti kwa sababu rais au marais wapo kiwanjani...!
Sasa what is so special safari hii? Au wanaogopa labda........ Au sijui kuna mtu kasema rais wa wanyonge anawaogopa wanyonge anaowaongoza.... sijui mimi.

Eeeeeeeeehhh....... Mmeipenda wenyewe...............
 
Hiyo ni tahadhari ya kiusalama maalumu kwa ajili ya maofisa wa jeshi, wananchi na amiri jeshi mkuu watakao kuwepo eneo hilo siku ya tukio la utoaji wa kamisheni

Wazee wa kujitoa mhanga au Snipers (wadunguaji) kama wale wakibiti wanaweza kujifichia hapo

So ulinzi ni muhimu sana
Sawa kabisa! Ni hatua ya kwanza ya kuhakikisha usalama kiulinzi kama kuweka ukuta mahali nyeti. "Clear!" halafu unafunga mlango kisha una post sentry nje! Wenyewe wanaiita "security detail"
 
kiongozi yupo nchini mwake mambo yapo hivyo ndio maana hataki kusafiri maana huko nje ya Nchi hapati ulinzi wa kuchezea hivyo..Mimi sishangai Nchi masikini uwezo wa watu pia kufikiri ni wa kimasikini upo chini sana...
 
Back
Top Bottom