Utoaji wa nishani uwanja wa Sh. Amri Abeid: Maduka yanayozunguka uwanja yakaguliwa na mbwa wa Polisi na kufungwa

punjab

Member
May 23, 2013
39
22
Maduka yote yanaozunguka uwanja wa Sh. Amri Abeid yamefunguliwa kusachiwa na mbwa halafu yatafungwa.

Hivyo hakuna biashara leo na kesho kupisha utoaji wa nishani kwa wajeda.

Sasa sijajua watafidiwaje hao watu na Serikali maana wengi wao wana marejesho ya kibenki.

A1.png
A2.png
 
Monduli Kuna eneo kwa kazi hiyo. Kwa nini wafanyie mjini? Nchi imepatwa hii
Ni sawa na safari zake kwa gari. Njia nzima usafiri wote unasimama hadi saa sita kumpisha apite mwenye nchi yake. Hao "Wanyonge" wawe wavumilivu maana ni kwa manufaa yao! Hao waliofungiwa maduka wamvumilie maana ni kwa faida yao..
Mnyonge mnyongeni mpaka afe!
 
Usalama wa Rais ni muhimu nadokezwa hata jana aliepaswa kufungua mradi wa maji Longido ni Rais ila ilibidi PM atoke Dodoma haraka kukaimu sababu intelligence haikuruhusu ratiba ya awali.
 
Usalama wa Rais ni muhimu nadokezwa hata jana aliepaswa kufungua mradi wa maji Longido ni Rais ila ilibidi PM atoke Dodoma haraka kukaimu sababu intelligence haikuruhusu ratiba ya awali.
Wanaogopa watu wasiojulikana wasifanye yao
 
Coverage ya media ndogo ingefanyika kule monduli so bora hapa tuje tujionee mambo mazuri
 
Usalama wa Rais ni muhimu nadokezwa hata jana aliepaswa kufungua mradi wa maji Longido ni Rais ila ilibidi PM atoke Dodoma haraka kukaimu sababu intelligence haikuruhusu ratiba ya awali.
Hujui usemalo, kwaiyo ilibid PM ndo aende ili akadhurike?
 
Rais wa wanyonge anawaogopa wanyonge wake anaowaongoza? Huyu anayesimamishwa barabarani na wanyonge huu ulinzi mzito hivi kulikoni? Mambo yamebadilika lini? Mbona hatujazoea hali hizi Tanzania hii? Rais wa wanyonge sasa wanyonge wamekuwa maadui zake? Kwa hiyo rafiki zake ni nani sasa?
 
Back
Top Bottom