Utoaji mimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utoaji mimba

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jino kwa jino, Feb 22, 2011.

 1. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wanajf salaam
  kuna wimbi kubwa sana la utoaji mimba linaongezeka kwa fujo tatizo ni nini au tumekosea wap?
  kuna rafiki yangu ni doctor maeneo ya kijitonyama/mwananyamala ananiambia kwa siku lazima atoe mimba 2 au tatu za wanafunzi wa secondary na chache wanafunzi wa vyuo anadai wale wa secondari zinakuwa kubwa hadi za miezi minne(kutokujijua), wale wa chuo wengi ni chini ya mwezi mmoja au miwili, huyu dr anafahamika sana kwa kazi hiyo.

  jamani tufanyeje kupunguza haya mauaji ya watoto watarajiwa? tungesema elimu ya uzazi ifundiswe knye shule za msingi na sekondari itapunguza tatizo hili, je hao wa chuo wanaotoa mimba nao hawajui hii elimu!

  maoni yangu: kama huwezi kujizuia kupata mimba bora usifanye NGONO au kubali kuzaa..... tumechoka na haya mauaji ya viumbe visivyo na hatia
  TUKIAMUA Tanzania bila utoaji mimba inawezekana.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  This is very tricky!
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwanza ungemsema huyo rafiki yako aache kuwezesha tukio zima!!
  Nwyz yote inatokea kwasababu watu wanafanya vitu ambavyo matokeo yake hawayataki!!!
  Watoto wa primary tu wanafundishwa sasa unadhani wa secondary ndo hawajui???Wote wanajua
  ila nadhani hua wahafikirii kwamba inaweza kuwatokea wao...na ikitokea ndo hivyo wanaona
  wanayo alternative inayowafaa wao ambayo ni kutoa bila kufikiria hicho kiumbe wanachokitoa!!!!

  Alafu we unauliza jinsi gani izuiwe wengine wanataka ihalalishwe:decision:!!Hiyo tabia haitaisha leo wala kesho.......
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Huyo naona anatoa chache kuna mmoja pale manzese jamaa anatoa kama 30 kwa siku halafu ni fasta dk mbili na kutoka kama umekwenda kuandikiwa dawa na kuondoka. Na yule mwingine wa Kawe sijui kaacha siku hizi.

  Mimi kiukweli sijui nini kinatokea aaahhh inauma kweli kweli jamani dunia imekwisha
   
 5. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huwa tunaongea nae friendly wakati tunapata moja moja navyomuona hawezi kuacha anasema ndiyo anategemea kuingizia kipato coz anatoa kuanzia 70,000/= hadi 200,000/= kutegemea na ukubwa akitoa mimba mbili au tatu kwa siku anaweza pata hata 400,000 kwa siku asipofanya hivyo mshahara wake kwa mwezi ni 850,000/= wap na wap labda serikal iboreshe maisha yao kwanza kimaslah then pawepo na sheria ya kuwabana hao madocta wanaotoa mimba!
   
 6. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  hili nalo ni janga la kitaifa
   
 7. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wanapata kwa sababu wanajua rafiki yako na wenzake wapo watatoa. Mwambie rafiki yako aache iyo kazi, mshahara mdogo sio kisingizio cha kuua viumbe wa mungu. Wakiacha wadada watakua makini.
   
 8. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ivi hizi kondom zinapenyesha au? Maana nafikiri kama zingekua zinatumika tatizo la mimba lingekua dogo sana
   
 9. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kondomu siku hizi zinatumika kwa machangudoa wanaojiuza tu!(waliopo kazini by proffesional) kwa wanafunzu na wake za watu ni nyama kwa nyama
   
 10. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watoa mimba sio wanafunzi pekee.. Kundi lingine ni walio ndani ya ndoa.. hao nao idadi yao ni kubwa. Hasa wale wanaoshika mimba kipindi kifupi baada ya kutoka kujifungua.
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Huyo rafiki yako daktari ni wakala wa shetani na ni bora ukamshauri kuacha hizo atafute njia mbadala ya kupata mshiko.
   
 12. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Je kwa sasa hivi kutoa mimba ni kosa kisheria au ni halali?

  Kuna ile Sheria ilisainiwa msumbiji Mwaka juzi, kuhalalisha utoaji mimba. je hapa Tanzania imepitishwa?
   
 13. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu inabidi kuanza na huyo rafiki yako na wengine wote wanaojulikana.... kwani tukiondoa possibilities za utoaji watu watakuwa makini na kuanza kutumia kinga.... huu ni upuuzi watu wanapenda starehe lakini matokea ya hiyo starehe wanajifanya hawayataki!!!
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nakubaliana nawe Babu Lao....step by step we will make a difference.....hao watoaji wasingekuwa wanatoa hiyo biashara isingefika hapo ilipo......watu wenye serious health problems ndo wawe tu wanaruhusiwa.....:hand:
   
 15. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wk end nitakuwa nae nitajaribu kumshawishi kuacha hyo bsness
   
 16. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Tuanze na nyie wakaka muwe mnavaa condom
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ndo wewe mwenyewe,nakujua....umesahau???? :wink2::hand:l.o.l
   
 18. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jamani acha kunionea, mi ni mwanaharakati
   
 19. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nyie ndio muwe makini sana, coz waadhirika wakubwa ni nyie! Au mnapenda wanapowachokonoa huko chni?
   
 20. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mhh!! kutoa mimba ni uuaji mkuu!! sijui Mungu atatoa hukumu gani kwa watu wanaotoa mimba!
   
Loading...