Je katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.

unaimba ubeti mmoja wa wimbo wa taifa! Ukishindwa..........
Huyu mleta mada sijui anataka kusema nini, naona kama amekuja kimajungu na umbea zaidi.
Jinsi ulivyoandika hapo kwenye bolded and underlined, bila shaka hata wewe unatia shaka kabla Operesheni Kimbunga hawajaja nyumbani kwako kuangalia nyaraka. Jiandae!Je katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.
ama kweli Tanzania ni nzuri kwani madawa yanapita bila tatizo, pssport wanazo hata wanigeria, vyeti kuforge hata mpaka degrees, wageni wanatupangia bei za mikataba! sasa kwa nini nisipigane Kufa na kupona ili niwe MTZ!Ukiona hivyo ana mashaka ya kurudi kwao............ tanzania nzuriiiiiiiiiiii!
Je katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.
Je katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.
Je katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.
Je katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.
Huyu jamaa wa wapi? Mkongo si mkongo, mrundi si mrundi, mnyarwanda si mnyarwanda! Pamoja na marekebisho yote aliyopewa bado unapuyanga kivyake.Wote wanaojibu hovyo,utaiya wao huenda ni wa mashaka.Badala ya kujibu hoja,popu linawatoka.Kama huna uthibitisho unapelekwa kwenu.
Ili uwe raiya lazima uthibitishe mambo 2, wewe ni raiya wa kuzaliwa au pili wa kuandikishwa?Ukiulizwa vyote viwili una uthibitisho gana?Kila mmoja anatoa povu,thibitisha uraiya wako hapa.Kuwa na kovu au kuongea kiswahili fasaha haitosho,wengi wanasomea lugha.Kama huna cheti cha kuzaliwa,Nyaraka za uhamiaji,kilambulisho cha Taifa ni kigezo tosha kuwa sii raiya.Tuache kutoa mapuvu.Tujibu hoja,wewe ukikumbwa na Operation KIMBUNGA,utajitetea na nini?
Umeona eeh! Huyu jamaa ni M.H. Hiyo haina ubishiUandishi tu kama huu unatosha kuthibitisha sio raia wa Tanzania!