Uthibitisho wa uraia

Uthibitisho wa uraia

1.0 BORN TANGANYIKA BEFORE INDEPENCE 8/12/1961 SEC. 1(1) Citizenship Ordinance.
Cap. 452 of 1961
1.1. BORN TANGANYIKA ON OR AFTER INDEPENDENCE OF TANGANYIKA. Citizenship Act. Cap. 512 of 1961
1.2. BORN IN TANZANIA AFTER UNION DAY 26/04/1964 Act. of 1964
1.3 BORN IN ZANZIBAR BEFORE REVOLUTION DAY 12/01/1964
2.0 TANZANIA CITIZENSHIP BY DESCENT (TANZANIA MAINLAND)
2.2 PERSON BORN OUTSIDE TANGANYIKA AFTER INDEPENDENCE BUT BEFORE
UNION DAY 09/12/1961-25/4/1964 Sec.4 Citizenship Act 1961 Cap 512
2.3 PERSON BORN OUTSIDE TANZANIA AFTER UNION DAY
2.4 PERSON BORN OUTSIDE ZANZIBAR BEFORE REVOLUTION 11/01/1964
3.0 OBTAINING OF TANZANIA CITIZENSHIP Citizenship Act No.6 of 1995
Hivi ndiyo vipengere ya uraia wa Tanzania kama ilivyovyiweka hapo juu yaani
-kuna aliyezaliwa Tanganyika kabla ya uhuru kuna masharti yake
-kuna aliyezaliwa Tanganyika baada ya uhuru kuna masharti yake
-kuna aliyezaliwa Zanzibar kabla ya mapinduzi kuna masharti yake
-kuna aliyezaliwa Zanzibar baada ya mapinduzi kuna masharti yake
-kuna aliyezaliwa Tanzania baada ya muungano kuna masharti yake
-kuna aliyezaliwa nje ya Tanganyika kabla ya uhuru
-kuna aliyezaliwa nje ya Tanganyika baada ya uhuru
-kuna aliyezaliwa nje ya Zanzibar kabla ya mapinduzi
-kuna aliyezaliwa nje ya Zanzibar baada ya mapinduzi
-kuupata uraia wa Tanzania kwa kuomba na kuandikishwa
Hiyo ni introduction tu je sasa unataka fafanuzi wa uraia wa aina gani nikumwagie hapa jukwaani "karibuni"
 
huo wa kuzaliwa tanzania baada ya 64
 
Mtanzania Halisi, Mgogo na Mhehe wengine wote wahamiaji

Unamaanisha Mtanganyika halisi au!Maana Kati ya hayo makabila hakuna hata moja linalotoka Zanzibar kutengeneza huo utanzania unaojisifia!
 
huo wa kuzaliwa tanzania baada ya 64
BORN IN TANZANIA AFTER UNION DAY
Huyo mtu atakuwa ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa iwapo, atawasilisha ushahidi kuwa alizaliwa Tanzania na angalau mmoja wa wazazi wake alikuwa mtanzania wakati mhusika alipozaliwa.
Vielelezo vya kuwasilisha ni
1. Ushahidi wake wa kuzaliwa Tanzania kama vile cheti cha kuzaliwa au kiapo cha kuzaliwa
2. Ushahidi wa uraia wa baba au mama kama vile:

a) cheti au kiapo cha kuzaliwa baba/mama
b) cheti au kiapo cha kuzaliwa babu/bibi
c) au cheti cha kuandikishwa uraia cha baba/mama
Hapo huyo atakuwa ni raia wa Tanzania kwa kuzaliwa kabla ya muungano. "Haya sasa nenda kadese!"

Je katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.
Mkuu hii ni fujo na vuruguvurugu na Uonevu hatimaye tunaangukia kudhulumu wanyonge na kusababisha tafrani nchini. Hakika hakuna atakaesalimika yawezekana asilimia 3 hadi 5% Samahani na niwieniradhi Bongo humu kila mmoja ni Bingwa bila kuchapa kazi ya halali.
 
Back
Top Bottom