Je katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.