Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Kuna watu wameshindwa elewa kuwa hayo majina "feki" ya Nchemba ndo aliyofanyia mitihani yote na kupata vyeti vyake, ni nini kigumu hapa kuelewa? Sioni tatizo lolote maana vyeti vyote ni halali yake kwa jina alilotumia.
 
Mkuu Pasco, somites unajishushiaga credit humu. Hivi hujui kua hayo majina bandia ni kwamba Mh alikua akijitetea tu? Yaani mzazi umpeleke mwanzo shule halafu uombe walimu wamwandikishe kwa majina bandia? Walikua walimu gani hao?Hapa ni blaa blaa nyingi ila jamaa alimaliza shule akafeli darasa la saba akaenda sekondari kwa jina mtu. Tuulize sisi tuliokulia jirani na shule ya msingi aliyosomea! Tena wenzetu wazazi wetu wamefundishia shule alikosoma tunalijua hili sana tu sema hua tunapiga pini tu.
 
Pasco acha kujishushia hadhi kirahisi namna hii.
Kosa la mwigulu siyo uhalali wa majina!!
Laa hasha, wala hatugombani na ubora wa akili yake kimasomo.
Tunapambana na UDANGANYIFU.
Sisi tunafahamu kuwa mtu ajulikanaye kwa jina la Lameck Mkumbo alifanya mtihani wa darasa la saba mwaka (.. ) katika kituo cha mtihani cha shule ya msingi (.....) akafeli
Halafu mtu yule tunayemfahamu kwa jina la Lameck Mkumbo anafanya tena mtihani wa darasa la saba mwaka (.....) katika kituo cha mtihani cha shule ya msingi (....) this time kwa jina la Mwigulu Nchemba, Akafaulu!!!!!

AMELIONGOPEA TAIFA.
Anaweza kuwaongopea wanyaturu
Hawezi na haitawezekana awaongopee wanyiramba wa kata nzima ya kyengege!!!!!

Kwa ucha MUNGU wao, wakazi hawa dhamira zinawasuta kuona huu mwendelezo wa kulidanganya taifa.

Labda kama uongo sio kosa kwa namna yoyote.

Sikutaja majina ya shule na miaka kama wito kwa Mwigulu Aliombe radhi taifa kwa uongo ule
TAIFA KAMA TAIFA LIKO TAYARI KUMSAMEHE ONCE AND FOR ALL.

 
kachukua jina la dactari kasome tena.


swissme
 

unajua kufeli la saba akafaulu form 4 sio ishu,ishu ni ufaulu la saba ufeli form four, kama alipasua hakuna shida yoyote...japo alifanya udanganyifu..
 
Huja address swali langu kwa nn MTU ana opt Ku acha kutumia majina yake sahihi anatumia bandia? Anaficha nn? Na hayo majina bandia na kiuhalisia ni ya nani au yamepatikanaje?? Mimi ni Osokoni naona umeshanipa jina bandia Mkuu Pasco
 
Mwigulu alifeli darasa la 7 akatumia cheti cha mtu aliefaulu darasa la 7 kujiendeleza. Kwahiyo ana cheti bandia na majina bandia.
Hakuna uthibitisho wa hili hiyo 1984 ni juzi tuu kama ni kweli tungeishawasikia waliosoma nae japo ile kuacha shule kwenda kuchunga mbuzi kisha kurudi kurudi shule ni kali. Lazima taarifa zake zote zipo kwa sababu mtu akiacha shule hufukuzwa, kurudishwa sio issue ndogo hivyo data lazima zipo.
Pasco
 

kafanya tukio kama ili. Najua umelipwa ili umtetee.
 

eeeeehhhh hatari sana, watanzania hawapendi ujinga asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…