Uthibitisho: Mathias Kipara mgombea UVCCM kafoji umri

Uthibitisho: Mathias Kipara mgombea UVCCM kafoji umri

Ccm ni taasisi na idara nyingi zilizosheheni wabobezi wa mambo nyeti ya kila aina, mpaka ukiwa ndani ya ccm haina shaka wameshajiridhisha na mienendo yako kihistoria na tabia na ni taasisi makini isiookoteza taarifa wala kutiliwa shaka taarifa zako,tunashangaa tabia hii ya ajabu inatoka wapi ni tabia tuliozoea na kuiona upande wa pili!
Mkuu unakumbuka ishu ya umri iliyomkuta masauni? Au kipindi kile masauni hakuwa ccm?
 
Inanikumbusha issue ya Masauni, Huyu Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani

Ili akidhi vigezo vya kugombea UVCcm alitengeneza gumashi kuwa kazaliwa 1980 lakin akasahu kurekebisha Cheti chake cha Shule ya Msingi kinachoonesha alianza darasa la kwanza 1979!

Alichaguliwa baadae ndo ukajulikana akapigwa Mtama na kina Ridhwaan

Jk akapiga Kijembe Eti Jamaa kaanza Shule Mwaka Mmoja kabla hajazaliwa!
He he he....... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Eti kwanza shule mwaka mmoja kabla ya kuzaliwa
 
Back
Top Bottom