Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,930
- 4,409
- Thread starter
- #21
Anasema ana 29 kwa sasa. Na kanuni ya UVCCM. Above 30 umepitilizaYeye amesema ana umri gani huyo Bwana Mdogo? Maana kudanganya ni hadi useme au utende
Anasema ana 29 kwa sasa. Na kanuni ya UVCCM. Above 30 umepitilizaYeye amesema ana umri gani huyo Bwana Mdogo? Maana kudanganya ni hadi useme au utende
Na huyo ni mgombea wa Bashite...kina bashite wapo wengi kweli'
ndo rahisi anawapenda
anko kigwa
bashite nk wote magumash na ndo maana mambo yao a kimagumashi
Tujenge hoja na watu wanaostahili kuwa Jumuiya wa Wazazi.. EboooTujenge hoja zenye fact na sio kuchafuana
Chama chenu kinasemaje juu ya hilo? Nyinyi mmechukua hatua gani? Mnalenga kufanyaje? Nijuavyo, 'anayechafuliwa' sana ndiye atakayechaguliwa.Anasema ana 29 kwa sasa. Na kanuni ya UVCCM. Above 30 umepitiliza
Ok. Sawa... Mbona Lowasaa alichafuliwa sana, Je alichaguliwa?..Chama chenu kinasemaje juu ya hilo? Nyinyi mmechukua hatua gani? Mnalenga kufanyaje? Nijuavyo, 'anayechafuliwa' sana ndiye atakayechaguliwa.
Unataka tuyaache haya ya Kipala tuhamie kwa Lowassa? Anzisha madaOk. Sawa... Mbona Lowasaa alichafuliwa sana, Je alichaguliwa?..
Lumumba bana,Tujenge hoja zenye fact na sio kuchafuana
FactToka juzi baadhi ya magroup ya CCM yameangazia Uchaguzi Wa Uvccm kwa jicho la ukaribu kwani huko ndio roho ya Chama.
Kiukweli yapo matukio mengi yanaendelea kwenye kufikia hitimisho la uchakato huo December 2017.
Ndugu Shaka Vijana wengi walihamasika kugombea na wengine waliweza kwenda mpaka Dodoma kukaa zaidi ya siku 3 lakini kuna jambo linajadiliwa sana kuhusu Umri Wa baadhi ya wagombea kuwa ni zaidi ya umri takiwa Wa mgombea ndani ya Uvccm.
Ndugu Kaimu Katibu ndio muda muafaka kuliongelea hili na ikibidi kutoa mapendekezo ya Kuondolewa wagombea ambao wamedanganya umri wao.
Kwa ujumla jumuiya ilipo sasa inaitaji viongozi makini ambao sofa zao ziwe za kweli tukimbuke serikali Makini ya Rais wetu Magufuri aliweza kuondoa watumishi waliokosa sifa zikiwemo za waligushi vyeti.
Kwa kuendeleza dhana hiyo ya kuondoa wasio nasifa kwenye nafasi mbalimbali.
Vema mkurungezi Wa Uchaguzi Wa Uvccm ambaye ki muongozo ni Kaimu Katibu Mkuu Shaka.
Kwa kumalizia tu ebu angalia mfano Wa Mgombea huyu Wa nafasi ya Uwenyekiti anavyojinasibu kuwa na umri sawa wakati amedanganya kupitia kopi ya cheti chake halisi juu ndio umri wakeView attachment 639586
Ukweli lazima isemweAkili ndogo zinapombana na Akili kubwa[emoji1363]
Watashindana lakin hawatashinda..... UVCCM ni muhimu kuwa Chaguo sahihi na sio bora chaguo.
Sema, umefoji umri au hukufoji? Hiyo ndiyo hoja hapa, acha porojoCcm ni taasisi na idara nyingi zilizosheheni wabobezi wa mambo nyeti ya kila aina, mpaka ukiwa ndani ya ccm haina shaka wameshajiridhisha na mienendo yako kihistoria na tabia na ni taasisi makini isiookoteza taarifa wala kutiliwa shaka taarifa zako,tunashangaa tabia hii ya ajabu inatoka wapi ni tabia tuliozoea na kuiona upande wa pili!
Tuacheni kumjadili mtu!!!Sema, umefoji umri au hukufoji? Hiyo ndiyo hoja hapa, acha porojo
But huu ni udhaifu mkubwa sana kwa Sekretariate ya CCM waliojinasibu kuwa wamefanya kazi kubwa na imara...
Tule mwingine sijui Mwesiga naye kazaliwa 1984..
Tunashindwa kuelewa mpaka sasa vyeti vingine pia hivyo hapo , mara mgombea amezaliwa 1986 mara 1970 mara 1984 Vyeti vingine hivyo hapo kizungumkuti kinaendelea. Kipi ni kipi hapaEh passport ya kwenye leaving ni suti au naona vibaya?