Uthibitisho: Mathias Kipara mgombea UVCCM kafoji umri

Uthibitisho: Mathias Kipara mgombea UVCCM kafoji umri

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,930
Reaction score
4,407
IMG-20171128-WA0031.jpg
IMG-20171128-WA0030.jpg
IMG-20171128-WA0025.jpg
IMG-20171128-WA0027.jpg
 
Kwani Masauni na Sadifa walipoukwaa uchairman wa UVCCM walikuwa na umri gani?!!!!!!
But huu ni udhaifu mkubwa sana kwa Sekretariate ya CCM waliojinasibu kuwa wamefanya kazi kubwa na imara...

Tule mwingine sijui Mwesiga naye kazaliwa 1984..
 
Toka juzi baadhi ya magroup ya CCM yameangazia Uchaguzi Wa Uvccm kwa jicho la ukaribu kwani huko ndio roho ya Chama.

Kiukweli yapo matukio mengi yanaendelea kwenye kufikia hitimisho la uchakato huo December 2017.

Ndugu Shaka Vijana wengi walihamasika kugombea na wengine waliweza kwenda mpaka Dodoma kukaa zaidi ya siku 3 lakini kuna jambo linajadiliwa sana kuhusu Umri Wa baadhi ya wagombea kuwa ni zaidi ya umri takiwa Wa mgombea ndani ya Uvccm.

Ndugu Kaimu Katibu ndio muda muafaka kuliongelea hili na ikibidi kutoa mapendekezo ya Kuondolewa wagombea ambao wamedanganya umri wao.

Kwa ujumla jumuiya ilipo sasa inaitaji viongozi makini ambao sofa zao ziwe za kweli tukimbuke serikali Makini ya Rais wetu Magufuri aliweza kuondoa watumishi waliokosa sifa zikiwemo za waligushi vyeti.

Kwa kuendeleza dhana hiyo ya kuondoa wasio nasifa kwenye nafasi mbalimbali.

Vema mkurungezi Wa Uchaguzi Wa Uvccm ambaye ki muongozo ni Kaimu Katibu Mkuu Shaka.

Kwa kumalizia tu ebu angalia mfano Wa Mgombea huyu Wa nafasi ya Uwenyekiti anavyojinasibu kuwa na umri sawa wakati amedanganya kupitia kopi ya cheti chake halisi juu ndio umri wake
IMG-20171128-WA0024.jpg
 
kina bashite wapo wengi kweli'
ndo rahisi anawapenda
anko kigwa
bashite nk wote magumash na ndo maana mambo yao a kimagumashi
 
IMG-20171128-WA0006.jpg
IMG-20171128-WA0003.jpg
 

Attachments

  • IMG-20171128-WA0000.jpg
    IMG-20171128-WA0000.jpg
    71.6 KB · Views: 66
  • IMG-20171128-WA0004.jpg
    IMG-20171128-WA0004.jpg
    76.4 KB · Views: 65
  • IMG-20171128-WA0008.jpg
    IMG-20171128-WA0008.jpg
    67.7 KB · Views: 75
Back
Top Bottom