Uteuzi wa viongoz wa NEC urudishwe mikononi mwa wananchi kwenye baraza la wawakilishi

Relief

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
254
47
Ndugu zangu katika Taifa hili la mwenye nacho kuongezewa na asie nacho kunyang'anywa hata kile kidogo alichonacho naomba tuazimie hili la kurudisha uteuzi wa viongozi na baraza la NEC kwenye mikono ya wananchi kupitia Wawakilishi wetu Bungeni. Ni kwa kupitia hili tutapata Uchaguzi ulio huru na wa haki usiofungamana na upande wowote na hatimaye kuwapata viongozi waadilifu.
Wanajamii wenzangu mchango wenu ni muhimu katika hili.

Its about time we call a spade a spade.
JF naomba kusikia kutoka kwako.

Nakuunga kwa hili, lakini viongozi wa ccm hawatakubali kuachia msosi!!!
 
wataachia tuu siku iko mbioni hawatakuwa hapo juu siku zote
 
Back
Top Bottom