Apo kwenye uteuz, MAMA Samia ametuliza akili Sana kwa dkt. Richard MASIKA.
Aisee,
Jamaa ni mtu smart Sana, kuanzia mavazi,kichwani mpaka rohoni.
MDA wote kanyoa, suti imenyooka , afu ananukia pafyum ya maana, kiatu kinang'aa Kama kioo.
Yaan
Ukijikuta umegombana nae, Basi ugomvi umeuanzisha wewe na yeye Hana hata muda na wewe.
Yuko bize na mambo yake, Utajistukia wee mwenyewe TU.
Afu Ni mtu na anaeenda sana na wakati, Yuko simple&systematic sn kwny kazi zake.
Ukiwa smart, innovative& updated,
Utakua rafki ake mkubwa Sana maana huwa sio mtu wa kuhusudu sana makaratasi. Ila vitendo TU.
Kama unafanya nae Kaz.
Hataki muishi maisha ya stress, ule ubahili wa kipuuz puuz wa kulishana mahindi ya kuchoma na mirinda nyeusi kwny vikao hataki ayo.
Mtakula vizur, mtalala pazuri, mtapumzika pazur na posho mtapata ya maana.
Hata
Kama bajeti haitoshi, atafight sana,
Ili mradi TU mlipwe vizuri na mfanye kazi Kwny mazingira mazuri ili mradi kazi yake ifanyike kwa ufasaha zaidi
(msilipue kazi kwa kisingizio Cha bajeti).
AWAMU ya JPM,
alitumbuliwa kimaghumashi Sana.
Bila jamaa Shaka kwa instinct zake asingeweza kuendana kabisa na Yule mzee.
Nakumbuka,
Kuna kipind alitofautiana na mzee baba kwenye mapato na matumiz ya TAASISI kisa amegoma Kuishi kwenye Kota za serikali zilizochakaa.
Na taasisi uku ikilipia kila mwezi zaidi ya dola 5000@month kugharamia Kodi,bills na matumiz mengine ya nyumba nzima ya ghorofa aliyopangisha ufukweni mwa bahari anayoishi yeye&familia yake akiwa Kama mkuu wa taasisi.
Uku wakuu wenzie wa taasisi wakitembelea kilimo kwanza, Hardbody, prado na magari mengine ya kawaida.
Jamaa alikua anatembelea zake VX V8
YAANI HATAKAGI SHIDA KABISA