Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,860
- 12,291
Mama ana balance, awamu nyingine itakuwa zamu ya walalamikiwaWale wanaosema Rais anateua kwa minajiri ya Dini hapa wala hawataonekana.
Cc USSR njoo huku useme Rais kateua kutokana na Dini ya Mtu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app