UTEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi na Taasisi mbalimbali

Bandiko ni kuhusu Teuzi au Udini? Mbona wachangiaji nanyi mnadamka tu against na topic iliyopo above na comments zenu..
 
Mama hebu timua kile kimeo pale Tanzania Airport Authority (TAA) Eng Ndyamukama wafanyakazi wapumue.
 
Mama Samia hana mpango na Waislamu wa Tanganyika, Yeye anateua zaidi ama Wazanzibari au Wakristo wa bara

Inaonekana anaogopa kuitwa mdini iwapo atakuwa Fair kwa watu wote.

Hili halikubaliki, Ni lazima awe fair kwa watu wote bila hofu.

Haiwezekani Waislamu wa Tanganyika wawe watoto wa kambo wenye kurukwa kwenye utumishi wa serikali!. Hili haliko sawasawa kwa sababu wenye vigezo wapo pia!
 
Mama amanilewa .mpeni hongera next time aweke hata waislamu wawili
Utakuja kulia kwenye Wakuu wa Mikoa/Wakurugenzi/Wakuu wa Wilaya.

Hifadhi hii comment, utakuja baada ya siku kadhaa mbele kulalamika na thread ndeeefu.

Waislamu hawajawahi kuhaingaika vyeo hata siku moja na ndio maana husikii makelele ya Udini. Wanaelewa ni mambo ya kupita tu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom