Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 10,144
- 12,193
!Na kuanzia leo malalamiko ya sijui Waislamu walionewa. Sijui akina Skyes walifanywa nini na kale kazee kajanja ka Kizanaki yaishe. We are equal now
Sent using Jamii Forums mobile app
!Na kuanzia leo malalamiko ya sijui Waislamu walionewa. Sijui akina Skyes walifanywa nini na kale kazee kajanja ka Kizanaki yaishe. We are equal now
Ndi mavuno ya Katiba yenu ya mwaka 1977.Hiki kitendo cha wazanzibari kutawala Tanganyika kinaniudhi sana.
TCAA jasho litawatoka hizo DSA, yangu masikio maana macho sina
Watakubonyeza kizenjiBora waislamu wa Zenji kuliko Sukuma Gang.
Ni washamba sana.
Huwa najiuliza kama wa bara wanateuliwa zenji?Mama kazidi sasa ndo atuletee Wazanzibar kkla sehem ya Bara?
Huu muungano umefika tamati unawanyonya sana Watanganyika
Mkuu na Raisi Huseni na babaake Mzee Mwinyi mbona ni wazaramo..Jumbe pia..Watawale Zanzibar huko kwao.
Kama Zanzibar ilivyo ni ya wazanzibari, Tanganyika ni ya watanganika.
Ndoa ya ccm na Zanzibar inatuletea vitu vya ajabu sana.
Huu muungano ni muungano wa ajabu sana.
😀😀Muulize "shangazi" Fatma.
Sawa , Anzisheni basi serekali ya Tanganyika muhudumu watanganyika wenyeweWatawale Zanzibar huko kwao.
Kama Zanzibar ilivyo ni ya wazanzibari, Tanganyika ni ya watanganika.
Ndoa ya ccm na Zanzibar inatuletea vitu vya ajabu sana.
Huu muungano ni muungano wa ajabu sana.
Hivi Kule zenji hakuna wakristo wenye sifa za kuteuliwa kushika nafasi/teuzi? maana teuzi zote ni majina ya kiislamu tuWaislamu wa Zenji oyeeee
Kwani shida iko wapi 😳Bado uteuzi wa Waziri wa Ulinzi huyo naye atatoka Kisiwandui, Zenj.
Watawale Zanzibar huko kwao.
Kama Zanzibar ilivyo ni ya wazanzibari, Tanganyika ni ya watanganika.
Ndoa ya ccm na Zanzibar inatuletea vitu vya ajabu sana.
Huu muungano ni muungano wa ajabu sa
Na ajitahidi kufanya utafiti acheki asili ya wabunge wanaotoka Zenji atauona ukweli ...... akina Nzori, Mapuri, Mwakanjuki, Castico na wengine wengi tu...... funika kombe mambo yaende!Mkuu na Raisi Huseni na babaake Mzee Mwinyi mbona ni wazaramo..Jumbe pia..
Mawaziri na wawakilishi ni kama desturi huku kuwa watanganyika kwa vile ccm ..80% ..asili ni watanganyika.
Ni vile tu wengi hamjui hilo....hata maofini viongozi wengi ni watanganyika mkuu...yanafichwa tu...
Imani iliyopo huku ni kwamba mtanganyika hawezi kusaliti chama!
Hata huyo mama mkubwa ni watu wanayafunika tu...lakini ukichimba.. manyema tribe!
Anachogomba mpemba ndio kile kile sasa kina kuja huku...mrima!
Zenji kule ni ubaguzi wa kwenda mbeleHuwa najiuliza kama wa bara wanateuliwa zenji?
Ila kitendo cha watanganyika kutawala zingibari unakifurahiaaa😂😂😂Hiki kitendo cha wazanzibari kutawala Tanganyika kinaniudhi sana.