Uteuzi: Kihongosi Mkuu wa Wilaya Urambo, Queen Sendiga ahamishiwa Manyara

Kazi inayopendwa zaidi na Samia iendelee..

Kutoka kuwaapisha wakina Makalla na Chalamila, kabla ya wiki kwisha kuwaapisha majaji, then hatujakaa sawa tunarudi tena kuwaapisha kina Queen Sendiga na Makongoro Nyerere..!!
Natamani siku moja nipate mtu anieleze Faida za hizi teuzi na Hamisha Hamisha..... Zaidi hizi hamisha hamisha zinatumia tozo zetu.
 
Bwana Mtanda sasa atakuwa utilized vema. Ukuu wa wilaya was too low for him.

Ana kariba ya uongozi, msikivu, mnyenyekevu mno. Anasikiliza na ana maono. Alipotolewa Arusha DC nilijua kakoroga mahali. Ijapokuwa zote ni Ukuu wa wilaya, lakini kuna wilaya na wilaya.

Nenda sasa katatue kero za huko Mara. Mungu akusimamie.

Mimi nakuaminia mno.

Mzee kama vile kelele za Waitara zimemponza.
Waitara kama namuona akisherehekea na K vant kubwa mezani!
 
Mmh sasa Makongoro kutupwa Rukwa si ndiyo ile nasema kufichwa vichochoroni!.

But impact ya uhamisho huu kila siku huwa ni nini hasa?.

Kuna sehemu niliwahi kusema ukimuuliza kijana mkuu wako wa mkoa au wilaya anaitwa nani, unaweza kutajiwa mtu wa ajabu hapo!.
Hawanaga ka,I A kufanya zaidi ya kusubiria kusimamia wizi wa kura
 
Kazi inayopendwa zaidi na Samia iendelee..

Kutoka kuwaapisha wakina Makalla na Chalamila, kabla ya wiki kwisha kuwaapisha majaji, then hatujakaa sawa tunarudi tena kuwaapisha kina Queen Sendiga na Makongoro Nyerere..!!

Ndio kazi pekee anayoiweza,mengine anawaachia msoga gang wafanye yao,
 
Hivi vyeo vya RC na DC ni kazi za kinyapara. Anayekuteua anakuona wewe ni mtumwa wake na anakupa kazi ya kinyapara. Binafsi kama ningeteuliwa ningekataa, bora nikapige miche zangu unless nina njaa na shida sana.


Pia nimegundua, wengi wa hawa wateuliwa baada ya kutumbuliwa huishia kufa mapema kwa magonjwa ya ajabu ajabu, kupooza au kuishi kwa sonona la kudumu.
 
Back
Top Bottom