Uteuzi: Kihongosi Mkuu wa Wilaya Urambo, Queen Sendiga ahamishiwa Manyara

Sendiga yuko vizuri sana,ni kiongozi mzuri,Rukwa kaishi vizuri sana ukilinganisha na watangulizi wake.Rukwa tutamiss sana
Ndo alisema hakuna kuachana? Makongoro tutammiss sana very friendly yule mbaba
 
Mohamed Mtanda katendewa haki.Huyu Bwana nampenda sana.Wala sikufurahi walivyomhamisha Arusha.
Anajitahidi sana kutatua kero za wananchi,imani yangu atakwenda sawa na Mwita Waitara,

Yule Suleman Mzee alitaka kubipu wakurya,wasingewahi kumuondoa nyodo zote zingemwisha,kule kuna majeda hayataki mizaha ya kijinga
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kenani Kihongosi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo. Anachukua nafasi ya Said Mohamed Mtanda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara
-
Aidha, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Cuthbert Sendiga amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Anachukua nafasi ya Charles Makongoro Nyerere ambaye amehamishiwa Mkoa wa Rukwa
-

View attachment 2632546
Charles Makongoro Nyerere Ana umri gani?

Kuna uwezekano vijana kukosa kwa Mfumo huu wa kuteua wazee wakati vijana wenye sifa na elimu nzuri, wanaendesha boda boda.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kenani Kihongosi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo. Anachukua nafasi ya Said Mohamed Mtanda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

Aidha, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Cuthbert Sendiga amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Anachukua nafasi ya Charles Makongoro Nyerere ambaye amehamishiwa Mkoa wa Rukwa

View attachment 2632546
Bora wa Mara ameondolewa , usalama wake ulikuwa mashakani
 
Secretary general au comrade general? Sijawahi sikia cheo hicho
Ndo usikie leo... nimetumia hilo neno kimakusudi na nikimaanisha haswa najua ulikariri.

Makatibu wakuu wa vyama vya kisovieti na kifashisti kama CCM walikua referred as Comrade General namimi huwaita hivyo.

Hongera kwa new knowledge.
 
Kazi inayopendwa zaidi na Samia iendelee..

Kutoka kuwaapisha wakina Makalla na Chalamila, kabla ya wiki kwisha kuwaapisha majaji, then hatujakaa sawa tunarudi tena kuwaapisha kina Queen Sendiga na Makongoro Nyerere..!!
Kwani wanapofanyiwa uhamisho Kuna haja ya kuwaapisha tena uapisho nijuavyo mm ni kwawateuliwa wapya
 
Kazi inayopendwa zaidi na Samia iendelee..

Kutoka kuwaapisha wakina Makalla na Chalamila, kabla ya wiki kwisha kuwaapisha majaji, then hatujakaa sawa tunarudi tena kuwaapisha kina Queen Sendiga na Makongoro Nyerere..!!
Apa apa inagharimu pesa nyingi za kodi
 
Back
Top Bottom