Uteuzi: Kihongosi Mkuu wa Wilaya Urambo, Queen Sendiga ahamishiwa Manyara

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kenani Kihongosi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo. Anachukua nafasi ya Said Mohamed Mtanda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara

Aidha, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Cuthbert Sendiga amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Anachukua nafasi ya Charles Makongoro Nyerere ambaye amehamishiwa Mkoa wa Rukwa

IMG_4768.png
 
Mmh sasa Makongoro kutupwa Rukwa si ndiyo ile nasema kufichwa vichochoroni!.

But impact ya uhamisho huu kila siku huwa ni nini hasa?.

Kuna sehemu niliwahi kusema ukimuuliza kijana mkuu wako wa mkoa au wilaya anaitwa nani, unaweza kutajiwa mtu wa ajabu hapo!.
 
Mzee na sakata la Ndugu Waitara na huyu ndio basi tena.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kenani Kihongosi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo. Anachukua nafasi ya Said Mohamed Mtanda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara
-
Aidha, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Cuthbert Sendiga amehamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Anachukua nafasi ya Charles Makongoro Nyerere ambaye amehamishiwa Mkoa wa Rukwa
-

View attachment 2632546
 
Bwana Mtanda sasa atakuwa utilized vema. Ukuu wa wilaya was too low for him.

Ana kariba ya uongozi, msikivu, mnyenyekevu mno. Anasikiliza na ana maono. Alipotolewa Arusha DC nilijua kakoroga mahali. Ijapokuwa zote ni Ukuu wa wilaya, lakini kuna wilaya na wilaya.

Nenda sasa katatue kero za huko Mara. Mungu akusimamie.

Mimi nakuaminia mno.

Mzee kama vile kelele za Waitara zimemponza.
 
Back
Top Bottom