Na Pascal bado hajakumbukwa ?!. Au ana kazi maalumu huku social networks ?!Hatimae Hassani Ngoma Wa Clouds Tv ateuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya Siglngida
Eteuzi huo umefanywa na Waziri Mkuchika kwa Mamlaka aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania.
View attachment 1499325
Hongera zake.....Bado Bonge