UTEUZI: Hatimaye Hassan Ngoma ateuliwa kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Singida

Ahahahaaaa . Nawe vipi mheshimiwa kama hakuoni vile ?! Siyo vizuri hivyo onghwise . Kazana labda baada ya uchunguzi
Ahaaa Jaduong tatizo lenu ndio hilo. Mtu akisema ukweli mnafikiria masuala madogo kama teuzi.
Mfano Jamaa zako wanashupaza shingo Wenje akagombee Rorya wakati hawezi kushinda. Jambo ambalo hamtaki kusikia.
 
Ungependa akagombee wapi ?! Kwani kugombea ni haki yake , kumbuka hata 2015 Mzee mfupi alishiriki kumpora ushindi wake . Kumbuka mwz iliwekwa ndani ya curfew siku 4 mpaka ushindi wa hovyo wa mabula ulipotangazwa japo hakushinda.
 
Back
Top Bottom