UTEUZI: Hatimaye Hassan Ngoma ateuliwa kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Singida

Waimba mapambio hao !!! Bado mwingine msoma magazeti

Acha unafiki. Kila mtu anaimba mapambio eneo lake. Kama wewe hujamsifia JPM it means Kuna mwingine unamsifia bila hata mshipa wa Aibu. Ingawa mwisho wa siku tunajua Kuna System inafanya kazi. Haya yako Ni mawazo ya binadamu ambaye akili yake ina wingu la prejudices. That’s life.
 
Salaam.

Habari zilizonifikia hivi punde zinasema Hassan Ngoma mtangazaji wa Clouds kipindi cha 360 ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Singida.

Hawa jamaa ndio waliokuwa wanalazimisha kuuaminisha umma kwamba Mh. Mbowe mwenyekiti wa Chadema amewakimbia kwa ajili ya mahojiano nae, kumbe walikuwa wanakitafuta kitu waonekane na watawala, sasa ameshakipata alichokuwa anakitafuta.
Kwani hakukimbia mahojiano
 
Back
Top Bottom