UTEUZI: Hatimaye Hassan Ngoma ateuliwa kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Singida

Ninauliza tu. Mtangazaji kuwa Katibu Tawala ni sawa?. Hakuna haja ya kuwa na experience kwenye mambo ya administration kweli. Ninafikiri hivi vyeo tunapeana kwa ajili ya kulipa fadhila tu. Angekuwa mkuu wa wilaya ningeweza kuelewa. Lakini hata hivyo sijajua hivyo vyeo vya mkuu wa wilaya, mkurugenzi, katibu tawala. Wote hao kazi zao ni zipi.
Kwa sasa vinaonekana ni maalum kwa makada wa CCM kugawana keki, na hapa tulipofika hata Bunge nalo sioni faida yake ingependeza zaidi likafutwa tu lisiwepo kabisa tungeokoa mabilioni mengi tu.
 
Yeah hata mimi nakumbuka wakati fulani tulikutana nae kwenye masuala ya kikazi, alikua n confidenc san akwamba kama hiyo project ikifanyika basi atakwenda personally kuitambulisha kwa chemist, nikasema huyu tayari chemist ameshafunua titi
Jiwe ana mahawara wengi sana
 
Back
Top Bottom