UTEUZI: Camilius Wambura ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI)

Mama anakurupuka sana. Na pale Ikulu bado hawajakaa sawa. Yaani mama anateua RAS mtu mwenye darasa la 12 kweli!!? Wanaomchomekea vimemo ndio wanampotosha mama. Inapaswa afanye individual vetting kabla ya kufanya uteuzi.
Shida ana haraka sn ya kuteua angeacha kwanza mpk aijue vizuri system teua tengeu aibu tupu
 
Mama anakurupuka sana. Na pale Ikulu bado hawajakaa sawa. Yaani mama anateua RAS mtu mwenye darasa la 12 kweli!!? Wanaomchomekea vimemo ndio wanampotosha mama. Inapaswa afanye individual vetting kabla ya kufanya uteuzi..
Kumbe Drs La 12 Hawapashwi Kupata Uteuzi?
 
Huyu Wambura ndanu ya mwezi mmoja kapanda vyeo mara nne, katoka Dodoma kaenda Dar kuchukuwa nafasi ya mambosasa mara paap kawa DCI ndani ya wiki mbili duh, Zali zalini
Unajua tofauti ya cheo (rank) na madaraka?

Katoka Dodoma na rank hiyo hiyo SACP, sasa kapanda kuwa CP na kuteuliwa kuwa DCI
 
Jamuhuri ya muungano wa Tanzania:kazi iendelee kweli MH. Raisi anawaona watu wachapakazi na makini kamanda Wambura ni jembe kweli kweli hivi viujambazi vimepata dawa yao.
 
Ni Hivi Karibuni tu aliteuliwa kuwa kamanda KANDA maalum Dar, sasa mama kampaisha kuwa Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya Jinai yaani DCI. Kampandisha na cheo cha kipolisi KUTOKA SACP KUWA CP. hongera kamanda Wambura, tupatie ulinzi stahiki kipindi hiki cha ujambazi. Kila Jema Mkuu wetu.
 
Back
Top Bottom