Utetezi mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utetezi mahakamani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by dazu, Mar 21, 2011.

 1. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamaa alikua anashtakiwa kwa kosa la wizi, ilipofika zamu yake kutoa utetezi wake, alisimama kwa kujiamini na kueleza;

  "Mheshimiwa Hakimu, napenda kuitaarifu mahakama yako tukufu kwamba mimi sikuiba, na kama mahakama yako itaniachia huru sitarudia tena!"
   
 2. z

  zayat JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sitarudia tena kuiba ua kuja mahakamani HAPO SIJAELEWA?
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ktk sheria kuna kitu kinaitwa Plain English Movement,kuna sehemu ktk masomo tulipewa mfano,jamaa alishtakiwa kwa kuiba mali,hakimu akasema: mr...wewe ni mwizi aliyeiba....akaendelea na mashtaka na mwisho akamwambia una la kujitetea kabla ya mshitaki kudhibitisha? Jamaa akamjibu hakimu,mh.hakimu mwanzo umesoma vibaya,umeanza mr...ni mwizi,umeiba...una uhakika gani kuwa mi mwizi ? Mi si mwizi ila niliiba...kumbe hakimu alikosea kwa kuanza na conclusion. Hapa ilibidi asikilize madai na utetezi ndo ktk kusoma hukumu ndo angemuita mwizi baada ya kudhibitisha. Na hapo hakimu akapata muda wa kujitetea kwa alichomaanisha na ndo akaendelea na kazi yake, Kwenye sheria kuna mambo huku!
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Asante kwa ku2pa japo kduchu haya mambo ya sheria
   
 5. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  "Presumption of innocence", kila mtu huwa si mkosa mpaka itakapothibitishwa kuwa ni mkosa, na ndio maana mshitakiwa anatajwa kama mtuhumiwa mpaka itapothibitika kuwa ametenda kosa.
   
Loading...